Huo uchafu siwezi Mimi
 
Hongerah mkuu. Uliupiga mwingi. Sasa mbebezi si ungeoa kabisa mjomba aendelee kushughulika na vichuchu vyako hivyo.
 
niliendelea for almost two years...then shit happened and we went separate ways..
Believe me, ungemvumilia ungeila hiyo papuchi mpaka uombe poo. Issue inakuja ungekubali kua sex object wake. Maana wadada wa status kubwa huwa wanakua na mahusiano na midingi yenye hela ili wa maintain status zao. Ila ww unakua special for migegedo ya maana.
 
Daaah we jamaaaa I can't imagine alivyokuja kukupenda baadae
 
Na hapo ndipo Kuna shida kwa mwanaume kukubaliana na hiyo hali ya kuwekwa kama sex object, maana ke anakutumia pale anapokuhitaji yeye tu (akiwa na Nyegggez nyingi) anakuita unamtia anakulipa unaondoka na mbaya zaidi anakumiliki na hataki uwe na mwanamke mwingine zaidi yake. Hajali hisia zako, hataki uwe weak wakati anakuhitaji na anachokitaka yeye tu ndio ufanye , hell NO!
 
Ningetesa moyo wangu tu.. by the time alikuwa operation manager kwenye kampuni kubwa tu.... plus her lifestyle nlikuwa sifit in her picture.. labda kuforce kingi nitoke damu mkuu....
Upo sahihi sana ndugu....niliwahi ku- experience scenario kama hiyo wakati nipo kijana na iliishia kuchana na kurudiana mara kadhaa mwishowe nikaona ujinga mtupu nikapotea mazima
 
Kitu gani kilikufanya uachane nae?
Unajua mwanzoni kbsa tumeanza kula tunda na siku zilizofuata.. hatukuwahi kuulizana kuhusu relationship status zetu... Mara nyingi tulikutana na kufanya yetu . hiyo mada ilikuwa haiguswi mpka baada ka ya mwezi hizi trust ikaanza kuwepo.. ndo kuanza kunisimulia her story na baby daddy wake.. mpka na mtu aliyekuwa nae kwenye relationship kwa mda huo.. alikuwa tajiri mmoja mkubwa sana bongo hii.. nadhani top 20 za bongo alikuwa anaingia.. kwa kanda ya ziwa huwez taja watu watatu ukaacha kumtaje...

Ndio alikuwa anazuia pale.. japo the future ilkuwa uncertain.. though hadi nyumbani kwao alikuwa jamaa anafahamika..ko inshort alikuwa mchepko wa huyo mnene.. na ndio extra spending zote asilimia kubwa zilkuwa zinatoka kwa jamaa.. ko mara nyingi mwamba alikuwa akimhitaji mbibie lazima akwee pipa aende akahudhurie then ageuke... sometimes anamescort china na dubai huko..maana mbibie alikuwa smart pia kwenye business mind...

Upande wangu na mimi nlikuwa na njia kuu yangu..ambayo nmeanza nayo kitambo toka advance..na nmepita nayo kwenye up and downs za kutosha..na nlikuwa naamin yule ndo wife..japo changamoto ya dini ilkuwa changamoto...

Kwa hiyo mda wote huo..kila mtu alijua mazingira ya mwenzie na mipaka yke..lakini kadri mda ulivyokuwa unaenda uhuru wangu ulizidi kuminywa hasa baada ya yeye kutibuana na mnene..

Ko kuna kipindi ilifika mpka gal wangu akastuka na kuna cku magari yakagongana..and my gal ended up by trying to commit suicide.. ikabidi sasa nichague mbivu na mbichi.. and I decided to choose my long time lover..

Ndo penzi letu likaanza kudorora plus nlikuja kuhama hilo jiji... baadae akabadili contact ckuwahi kumpata tena hta social network simuoni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…