Kuna demu nilikula kimasihara mara moja, badae akasema sitaki tena mahusiano na wewe, cha ajabu ananiomba hela ya matumizo, vocha na pedi,
Mim sina hiana ninampatia
Juzi tu hapa na barid ya dodoma hili, nimekula tena kimasihara kwenye gari.
Dahhhhhhh
 
Tena uwahi ndugu ukachomwe sindano ya dawa ya penicillin dosi mara 3 kwa week 3, magonjwa ya zinaaa ni hatari wahi na mchukue na partner wako wote mpate matibabu
Ukute na HIV wamesambaziana lol, ndo watajua hawajui mweeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukute na HIV wamesambaziana lol, ndo watajua hawajui mweeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka avunje simu kwa kupiniki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muone huruma
 
Huo ndo ubinadamu maisha kusaidiaa
 
dah tangu 2014 nahitajika sana kutoa ushuhuda jamani

Iko hv kuna usiku mida ya saa tano hv nipo na mshkaji wangu tunatoka misele si unajua tena
mara paap kituoni anashuka mtoto wa mwenye nyumba
mi sina mazoea nae ana mazoea na huyo rafiki yangu

Huku kwetu mi najulikana kama kijana mpole tu nikipita salamu imeisha hiyo sina mazoea na majirani kabisa

Sasa tukaongozana yule rafiki yangu akafika kwake akaingia ndani akaenda kulala tukabaki mi na yule binti tukaongozana mie buyu kali sio type za kutoka na watoto wa mama mwenye nyumba wala mtaa mmoja wataniharibia wakija wengine

Akafika kwao sasa gonga geti dk 10 hawamfungulii mi nikamsubiri nilivyoona hawafungui nikamkimbia niende kwangu nikalale mara nafungua geti huyu hapa ananiambia nalala kwako moyoni nikapiga makofi ila usoni nikamgomea bwana mi silalagi na mtu kitanda changu kidogo
Nafungua mlango huyo kazama ndani akapitiliza hadi chooni kabisa na viatu vyake kaingiza ndani nikajua hapa nimekamatika

Alipotoka kuoga mi nikampokea nikaenda kuoga kurudi namkuta kashavaa nguo zake katulia tu ananiangalia nikamwabia haya lala ila shuka ninalo moja tu tena najifunika mwenyewe

Nikamuona anajifunika khanga nikamwambia zima taa tulale mi silali taa ikiwaka nitakesha bure humu
akanigomea nizime mimi
mie kuinuka najionea tabu askari kashajiandaa na vita nikainuka kwa kujibana pale nikazima taa narudi kulala

Kimbembe sasa naanza kuchezea simu
najiongelesha kumbe akili haipo huko kabisa imegoma

nikamwambia bana wee mi usingizi hauji fanya unisaidie na mimi nipate usingizi
khee si akaanza kuniambia jitahidi ulale
nikamjibu nimejitahidi nimeshindwa huku namfunika na lile shuka moja hivyo tukawa tushagusana

Mara huyo akavua bra yake kavua nguo mambo hayo
baadae si akapanda juu sasa huko akaanza maswali mara tuwe wampenzi nikamgomea mara hiki nikamgomea

akaona huyu ni jeuri akasusa akashuka mi nikageukia ukutani saa 11 nikamtimua nikamwambia nenda kwenu washaamka usiniletee nzi

ilikuwa kila akiniona hana na mimi
 
TATEPA... nguo za kulalia alizipata wapi kwako sasa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…