Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,249
- 93,771
[emoji818]mbegu za mabogaMatunda gani unakula chief, tupe ujuzi mzee.
[emoji120][emoji120][emoji4][emoji818]mbegu za maboga
[emoji818]Parachichi
[emoji818]tikitimaji
[emoji818]tango
[emoji818]karanga
[emoji818]Asali yenye unga wa tangawizi na mdalisini.
[emoji818]MAZOEZI
[emoji818]Staili za kutoo.
Sivili kwa pamoja... Bali leo nikila Parachichi..kesho tikiti..kesho tango kesho karangaa ,kesho mbegu za maboda....
Yaan ni vitu nmeshavifanya kama sehem ya maisha yangu katika kujenga mwili wangu.
Hiyo ni Asali yenye hivo viungo, sio tu kwa masuala hayo, bali inasaidia mambo mengi mwilini.View attachment 1959250
Asali chupa km hiyo inauzwa elfu tatu.[emoji120][emoji120][emoji4]
Hii asali inapatikana wapi mzee
Siyo wamasai tu ila wanawake walokeketwa huwa hawachoki haraka maana ukienda roundi 3 yeye 1 ndio kwanza anadai umentekenya, wanawake waliokeketwa wanataka more technics bila hivyo unachemkammasai hajui kupumzika mkuu,ukishusha tu wazungu utamuona anakwambia yerrooo twendeleee aiseee!! mie nilimpataga mmoja huko Arusha mwingine Babati mpaka nilijisemea hawa akina yeyoo mbona wako hivii au dawa wanazouza na wao wanakunywaga nini?? daaa hawachokiiiiiii....wewee ndo utachoka nakumwacha yuko fresh tu..ila wamekeketwa sijui huwa wanatafta kuupata utamu wakukojoa hawajawahi mm sijui..
Mie demu wa kwanza ni c6 alifanya mipango sema sijabalehe miaka iyo.Kuna Dada yangu fulani alikuwa kipindi yupo Chuo alikuwa anakuja home na wenzake pisi Kali,aiseee nilitafuna pisi Kali mpaka nikawa nazikimbia. Yaani utakuta anamaliza kila kitu mpaka kumpeleka chumbani kwangu,Mimi kazi yangu kupiga tuu.
Kuna Dada yangu fulani alikuwa kipindi yupo Chuo alikuwa anakuja home na wenzake pisi Kali,aiseee nilitafuna pisi Kali mpaka nikawa nazikimbia. Yaani utakuta anamaliza kila kitu mpaka kumpeleka chumbani kwangu,Mimi kazi yangu kupiga tuu.
Hahaha. Ukianza tu ndo umenasaKweli wanaume wabaya.......anajiongelesha ongelesha na wewe umekaza huzungumzii mahusiano wala humuiti jina la kimahaba!!!!!
Kama jina lake linaanzia na N.. ni tatizoSiyo wamasai tu ila wanawake walokeketwa huwa hawachoki haraka maana ukienda roundi 3 yeye 1 ndio kwanza anadai umentekenya, wanawake waliokeketwa wanataka more technics bila hivyo unachemka
Yupo mmoja nilikutana naye Dom ni
Hatari na nusu
Ile siku naikumbuka nilivyokula kimasihara,Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasiraa, jamaa ake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga.
Mimi niliona status demu flani ninaemkubali kaandika i need somebody to talk to aisee nikampigia video call kumbe alikuwa analiaa nkamwambia upo wapi?? Akasema yupo hostel anaugulia maumivu bwana ake kamla rafika ake na ana ushahidi aisee nkamwambia pole sana.
Vipi tutoke bhasi ukapoteze mawazo kidogo? Akasema twende tu me nshachoka kuumizwa. Aisee ile siku sikuamini nilihisi ni ndoto japo baada ya tukio akaniblock kisa nilimpost demu wangu. Na yeye akampost jamaa eti ili anikomoe nkasema wanawake bhana.
Je, vipi ushawahi kula tamu kiutani utani tu? Mlidumu kama wapenzi baada ya kumla?
===========
TAKE NOTE:
===========
Moderator: Hii thread imerejeshwa na owner wa mjadala amekuwa rikiboy kama ilivyoombwa na wadau. Mnaombwa kuzingatia lugha katika uwasilishaji wa maoni
Halafu wanawake wa hvyo ndio unakjikuta unampenda sana baadaeNina muda sana sijaleta kisa. Visa vipo tatizo mambo yamekua kasi sana toka mwenda zake aende zake.
Leo naleta kisa kimoja cha wikiendi hii ya juzi.
Around mwezi wa 7 kuna wafanyakazi wapya walikuja hapa ofisini. Ni diploma so bado wadogo wadogo. Mabinti wa 5 na washakaji 2. Wale mabinti wote wa kawaida so sikuwaza hata kuanza kuhanagaika now ingawa kuna mafisi yale yasiyochagua najua yatakua yanapiga tu by now.
Nlivokua nawakabidhi desktops za kufanyia kazi, kuwasetia simu ya ofisi za mezani na email za ofisi, ikabidi niwape wote namba yangu na nichukue namba zao. Sijawahi kumtafuta hata mmoja na wao hawajawahi kunipigia, mara nyingi wanatumia tu simu za ofsini zile za mezani kuomba support. So hata mazoea now sinaga. Kuna manzi hapa kazini nilikua napiga kipindi flani sasa ikajaga kuleta maneno na majungu mengi sana kutoka kwa wana (Nlianza kupiga siri siri baadae watu wakajua, haikua shida sana coz manzi ni kifaa sana, akapataga mimba ya jamaa yake wa siku zote, jamaa akavalisha na pete kabisa. Mwakani ndo ndoa, uzuri jamaa hajui kama kuna mwamba kazini kwa manzi alikua anapiga, labda watu wachome, now kajifungua yupo maternity. Huyu siwezi weka kisa chake hapa coz huyu niliplan kumpata, sio kumla tu na nkasotea mpaka ikanibidi ni apply u- sharukh khan ili nimpate. Mimba yake ilivoanza kuonekana nlikula sana majungu).
So hawa nlivoona wote wa kawaida nkaona nitulie tu.
Ijumaa iliyopita mida ya mchana mmoja wao wa wale mabinti kanitext msg ya kawaida anauliza kama nimeagiza msosi, nkamjibu msosi gani, akajibu kua kakosea kutuma, alikua anamtumia mwenzie, nkamjibu na mimi nataka msosi. Tukachat chat pale na mimi akaniagizia msosi. Ulivofika kantext nkaenda floor ya juu kabisa ndo kuna sehem ya kulia chakula. Nkawakuta wapo watatu, yeye ni zile type za mamanzi wana sura nzuri lakini mwili wa kawaida sana, akivaa suruali ndo anapendeza, sio skirt wala magauni. Na wenzie ni variations tofauti kidogo tu lakini wale wale tu.
Tukala huku nawapigisha story za kizushi, nkatoa hela ya msosi wangu tu nkarudi ofsini kwangu.
Mida ya saa 10 kantext tena, anataka movie kama nnazo aangalie weekend. Wao jmosi na j2 hawaji. Muda huo mi nshakimbia ofisi kitambo, nmewaachia madogo wa field ikifika saa 11 wafunge funguo waache kwa mlinzi.
Ikabidi nimwambie sipo nmeondoka. Tumechat sana mpaka saa 2 hivi ndo nmemuuliza uliza kuhusu yeye, anapenda movie za aina gani, anakaa wapi, na nani na vitu kama hvyo nkamwambia kama hyo kesho yake jmosi atakua free tukaangalie movie pale DFM akauliza muda nkamuambia saa 2 kasoro. Kasema hataweza coz yeye anakaa maeneo ya Lumo na dadaake. So mchana anakua free sio usiku.
Nkamuambia basi nkitoka job ile saa 6 mchana hyo kesho yake jmosi tuonane aje achague movie anazozitaka. Akasema poa na kuchat kukaishia hapo.
Kesho yake mi nshasahau nipo job na washkaji muda wa kazi umeisha lakini bado hatutaki kutoka mjini, naona text ya yule binti, nmechat nae ananiluza niko wapi, nkamjibu nakaribia home, akauliza tunakutania wapi nkamjibu nkifika home ntamtumia location achukue bolt aje. Akaguna na mimi sikujibu kitu, nkajua huyu kajileta kibla mwenyewe nibembeleze ya nini.
Nkawaaga washkaji nkaenda kudandia boda mshkaki hadi karibia na mitaa ya home buku 3 tu af boda ingibe buku mpaka getini. Mdogo wangu wa kiume yupo likizo so mara nyingi anapenda kuchill kwangu, nkampigia simu hapo hapo nkamuambia afanye usafi kizushi af asepee.
Nmefika home nkamtumia location whatsapp na jina la kituo, af nkamtext kawaida kuwa location nmeshaituma. Akajibu poa. Nkaona blue tick whatsapp nkajua location kaipata. Nkauchuna.
Baada ya kama lisaa hivi katuma text yupo kituoni, nkamfata na nauli ya bolt nmeibeba. Nmeenda na mindset kuwa nkikuta ashajilipia nauli possibility ya kula tunda ni 50/50, lakini kama anasubiri mimi ndo nije kulipa basi atakua amekuja kuliwa tu. Na kweli nmefika nmemkuta yeye na huyo jamaa wa bolt wanansubiri nilipe. Kaja kavaa suruali ya jinsi, tshirt, kajifunga na mtandio kichwan kama anajificha flani hivi. Ikabidi nimpitishe baa kabisa nimchukulie chips yai na mishkaki na maji makubwa, coz hatoki mtu akishaingia ndani.
Tumefika ndani nkamuandalia huo kwa saani msosi af nkamuekea movie kwenye TV ya 50 shades of grey, part 2 yake au part 3, nliweka hyo coz wananyanduana kichizi.
Tatizo si akaielewa movie, aka concentrate nayo kichizi, ikabidi ntulie hadi iishe. Wakati movie inaendelea nkahamia sofa alilokua amekaa nkamvuta akanilalia nkamtoa mtandio, uzuri ana nywele natural amezifunga nyuma, nkawa namchezea kwenye nywele af nashuka mabegani, nkishuka kifuani anantoa mkono anasema nisimsumbue anaangalia movie. Movie yote imeenda hvyo hadi imeisha.
Baada ya movie hata sijaongea chochote mdomo kauleta mwenyewe. Nmejilia vitatu mida ya saa 1 nmemuitia bolt kasepa. Nawaza jmosi nimuite tena. Tatizo sitaki awe manzi wangu official.
Hii wiki yote kila siku anantext anasubiri nianzishe topic ya mahusiano na mimi siianzishi, tunachat tu kawaida namsifia sifia af inaishia hapo. Zaidi kumuita 'mama' hamna jina lolote la mahaba namuita.
Kumbe hata ww umeona,huyo ambae hapendezi akivaa gauni atakuja kumpenda tuHongera kwa kupata mke
Hii ni kweli, mi nimejikuta nataka kuoa bila kutarajiaHalafu wanawake wa hvyo ndio unakjikuta unampenda sana baadae
Wewe ni rijali usiwe na shakabamdogo matunda tunakula tunaidhia dakika 15 kwa round round 2 kidogo ndo 25-30 tunafeli wapi
keshahama Tabora mkuu yuko mkoa mwingine kwasasaNup
Nipe connection ya uyo sister niwe nampereka mnadani aisee anainekana ni wa faida sana
wanini umemuanika hapa mkuu????1.Anaitwa.....mariam
2.Anaishi....mabibo-dar es salam
3.Amesoma....Loyola,,,Tambaza na mzumbe university.View attachment 1958653View attachment 1958654View attachment 1958656View attachment 1958657View attachment 1958658
Huyo demu ni wa uswailini sidhani kama amesoma huko Loyola na Mzumbe. Ada za hizo sehemu na exposure hawezi kupiga picha za kutuma Fb katika mazingira hayo yaliyochoka1.Anaitwa.....mariam
2.Anaishi....mabibo-dar es salam
3.Amesoma....Loyola,,,Tambaza na mzumbe university.View attachment 1958653View attachment 1958654View attachment 1958656View attachment 1958657View attachment 1958658
Nimeona mkono wa mtoto kwemye hizo picha[emoji23][emoji23] kumbe humu kuna watu wanatoa huduma ya tope incase simba wanacheza dah noma sana
Siku zote ndio inakuwa hvyo mkuu,yule unapanga awe wako hamtofika mbali yule ambae unasema ngoja nipige nisepe unajukuta umezanaHii ni kweli, mi nimejikuta nataka kuoa bila kutarajia
Ni binti mzuri tu ana miaka 21 anakila sifa ya kumvutia baharia, naweza sema ni kundi la wanawake ambao wanaume wengi huwa tunahofia kuwaoa sababu aina hii huwa wanafukuziwa na watu wenye pesa
Kifupi nimejikuta nataka kuoa kimasihara, pia hata mahusiano yenyewe yameanza kimasihara maana sikumtongoza wala sikuwahi kumwomba namba yake ya simu, mwanzo nilikua nachukulia poa tu ila mwisho wa siku nimekuja kujua mtu anafosi ndoa wakati mimi huwa napenda kuwa nae kwenye ishu zangu tu,
Ila sa hv kanitambulisha mpaka kwa ndugu zake na watu wote maeneo ya kazi wanajua ni mke wangu kumbe wala hata barua sijapeleka
Kifupi mwanamke unaemchukulia poa mwisho wa siku utajikuta unampenda
Km uko arusha au moshi kuna vidude flani ivi ukienda masokoni unavikuta.kama soko kilombero au mbuyuni.Matunda gani unakula chief, tupe ujuzi mzee.