Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Achana na teuzi za mama. Mimi ndio rais wa nchi hii 2025. Hii comment ihifadhi utairejea siku naapishwa.
Kwani kwa mujibu wa Katiba yetu Rais anapaswa kuwa na umri gani? Kwani it appears you are under 30 na ifikapo 2025 utakuwa hujafikia umri kikatiba wa wewe kuwa Rais😀😀
 
Jamaa yangu alinisimlia alivyomla kimashara mtoto wa kishua alikuwa anasoma form five mwanza
Picha linaanzia kwenye ndege tokea mwanza kuja dar, jamaa alikuwa anafanya barrick ofisi za massaki alikuwa mhasibu.
Wamepanda ndege toka mwanza, haijulikani either ni ugeni ama alikuwa anaumwa, dema akatapika na kwa bahati mbaya alimtapikia jamaa mwaaaaaaa, jamaa akajikausha maana alikuwa kasinzia, hakujitingisha wala kushtuka ila seleka lote alikuwa amelisikia, dada akaanza kuhangaika.
Mwishoni akamstua jamaa na kumplease sana akamfuta jamaa akamwambia usijali hakuna shida, and pole sana.
Stori zikaanzia hapo wakafahamiana and hadi ndege inatua DAR jamaa ashachukua namba,
Wiki haikupita jamaa akamlaza chali dem
 
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasiraa, jamaa ake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga.

Mimi niliona status demu flani ninaemkubali kaandika i need somebody to talk to aisee nikampigia video call kumbe alikuwa analiaa nkamwambia upo wapi?? Akasema yupo hostel anaugulia maumivu bwana ake kamla rafika ake na ana ushahidi aisee nkamwambia pole sana.

Vipi tutoke bhasi ukapoteze mawazo kidogo? Akasema twende tu me nshachoka kuumizwa. Aisee ile siku sikuamini nilihisi ni ndoto japo baada ya tukio akaniblock kisa nilimpost demu wangu. Na yeye akampost jamaa eti ili anikomoe nkasema wanawake bhana.

Je, vipi ushawahi kula tamu kiutani utani tu? Mlidumu kama wapenzi baada ya kumla?

===========

TAKE NOTE:

===========

Moderator: Hii thread imerejeshwa na owner wa mjadala amekuwa rikiboy kama ilivyoombwa na wadau. Mnaombwa kuzingatia lugha katika uwasilishaji wa maoni
Aisee safari za mabasi hii kula kimasihara inatokea na zile umesafiri afu chaap unalala gest au lodge mkutane me na ke wote mnatafuta chumba hata kama vipo vingi mtajikuta tu mnaamua km vipi tuchukue kimoja haaahh ashaliwa mtu kimasiara
 
Wadau niko hapa Lushoto kijiwe kimoja kinaitwa Face2face, kuna vitoto vinakatika, balaa. Nilikuwa nimesahau kuwa nimeshaoa, sas akili imerejea vizuri, ngoja nikalale tu.

Wanaume tumeumbwa Mateso
Kwamba leo Shetani hajatembelea maeneo ya Lushoto?

Anyway, kuna majitu nibmafuska mpaka shetani hataki kuyasaidia. Anayaacha tu yapambane yenyewe, na bado hayamuangushi Shetty baby a.k.a Shettlicious!
 
Back
Top Bottom