DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,517
Wapo baadhi ya watu wana zaidi ya inch 8,....Kwa hiyo Duniani hakuna Taifa lenye wastani wa Inchi 8 ???
Ila linapokuja suala la idadi ya wanaume, wanaume wenye maumbile madogo ni wengi zaidi ya wenye makubwa.
hivyo unapotafutwa wastani,
wenye kubwa wanamezwa zaidi na wenye ndogo.
Wanaume wenye inch 8+ hawazidi 5% tu ya wanaume wote duniani.
Check hii takwimu duniani[emoji116]