The Hebrew
JF-Expert Member
- Feb 7, 2015
- 348
- 447
Vunga mangi unataka maboss wasanukeHukujua tu, fundi alikutoa kiaina ili avushe cement![]()
kfup baharia umepaisha nanga Yan ww ndio umeoa tayarHii ndio kimasikhara yenyewe!
Hapa ninapoishi kulikuwa na nafasi ya chumba kimoja cha kupanga, jana usiku nilisikia kwamba kuna mtu atahamia ameshalipia kodi na kila kitu, mpangaji huyo mpya amehamia usiku hata sikupata muda wa kumuona
Leo nimeamka alfajiri kama ilivyoada nikawahi kanisani misa, nimetoka mida ya saa nne kufika geto ndio nakutana na huyo mpangaji mpya
Kitu single maza na mtoto wake kama wa miaka minne mitano hivi, Mama amejaa nikamkaribisha na kumuelekeza baadhi ya mambo maana tumekuwa wapangaji wawili sasa
Katika kumuelekeza ndio nikamkaribisha ndani kwangu kimasihara naye akaingia bila pingamizi lolote
Geto lenyewe kitanda ndio sofa, amekaa hapo muda mfupi tu akili ikabadilika kichwa cha chini kikaanza kutoa muongozo, kumwambia sogea karibu mtu naona anasogea
Fasta sana nikamtoa nguo kimasihara na kumyooosha kimoja cha salamu kwanza...baada ya hapo ndio tukaulizana majina na kufamiana kijuujuu tu
Hapa naandika hivi anaosha vyombo na apike msosi wa usiku kimasihara kwelikweli

Ndomu muhimu Sana aiseeDalili ya ukimwi namba moja ni kukataa kupima na kukataa kutumia ndom

Hahahahah jamaa kapigwaHukujua tu, fundi alikutoa kiaina ili avushe cement![]()


AhaahaaHapo utaambiwa kwenu ni maskini wala hakna gari,![]()

..achana nao hawa, mi najiamini sihitaji kujiexplain who am I humu jf...


Yaan eti haya mashamba yanajudge mtu kwa simubora we tecno, m natumia nokia kitochi sina habari



only Jf...
Imekula kwako..anza kuandaa matunzo kwa mama na huyo mtoto..otherwise uhame hapoHii ndio kimasikhara yenyewe!
Hapa ninapoishi kulikuwa na nafasi ya chumba kimoja cha kupanga, jana usiku nilisikia kwamba kuna mtu atahamia ameshalipia kodi na kila kitu, mpangaji huyo mpya amehamia usiku hata sikupata muda wa kumuona
Ndo kashaliwa hapo na hajuiImekula kwako..anza kuandaa matunzo kwa mama na huyo mtoto..otherwise uhame hapo


Hata mimi huwa nachekwa kisa natumia TECNO. Yaani demu ukimwambia unatumia TECNO basi hata uchangamfu unamuisha. So shallow yaani

Ila kuna aina ya simu ukiona mtu anatumia inahakisi jinsi ulivyo tekino ka7 😂😂😂🏃♂️🏃♂️🏃♂️Yaan eti haya mashamba yanajudge mtu kwa simuonly Jf...
Humu mtu anatumia iPhone 6 ila analala kwa shemeji yake imagine this
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
wee nae bhanaah, muache Queen alete next episode,
Basi mkaage kimya sio kuwa disturb wachangiaji wa story.
Yaan hii dunia in a vichekesho hatareeh lol.Ahaahaa..achana nao hawa, mi najiamini sihitaji kujiexplain who am I humu jf...
Eti unajudge mtu kwa simu uwiiii![]()
Hata mimi huwa nachekwa kisa natumia TECNO. Yaani demu ukimwambia unatumia TECNO basi hata uchangamfu unamuisha. So shallow yaani![]()



mbavu sina khaaaah.😂😂😂 si anafurahisha walimwenguYaan eti haya mashamba yanajudge mtu kwa simuonly Jf...
Humu mtu anatumia iPhone 6 ila analala kwa shemeji yake imagine this
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Just fun my friend..enjoy!
Hivi mbona mnaidharau sana tecno asee, si ilimradi nawasiliana
Katika watu ambao hawana mizuka na simu basi mi miongoni mwao!
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Nishapinga mimba now nina mtotousikute washachomoa uzazi hapo
Bas walifeliNishapinga mimba now nina mtoto
Jamaa ni 'story teller' mzuri sana.Nitakuwa mniyimi wa fadhila nisipoandika chochote kwa lengo la kutoa shukrani zangu za dhati, kwanza kukupongeza kwa kumtafuna binti mlokole na pili kwa ku-share nasi ushuhuda wa kula ki-masikhara.
Asante kwa ushuhuda huu ambao umenogeshwa na uandishi wa kipekee.
Hongera sn