sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Habar za jumapili mzee wa siteKuna siku nlikua zangu Site nasimamia mafundi wanajenga kibanda changu. Hapa alikua fundi Beka jamaa mmoja ivii ana maneno mengiiii. Mimi nipo kwa ndani fundi yupo juu anasaidiana na masaidia wake wanamwaga zege kwenye Linta
Mara akapita Kichenchende fulani iviii, fundi Beka akamwita akamwambia utaitwa na Boss uku ndani njoo. Mimi nipo ndani ata sielewi kinachoendelea uko nje mara yule kichenchede akaingia ndani ya lile Boma akasema nimeambiwa naitwa, nami bila kuvunga nikamchota maelezo pale akanambia anaenda kwa sista wake, basi nikamtuliza nikamwambia twende kwanza tukanywe soda afu ntakupeleka uko kwa sista wako.(Uyu kichenchede akakubali)
Basi nikamuaga fundi pale(hata hakuamini na hakutegemea kama demu angekua mlaini namna ile na angekubali kuondoka na mimi) nikamchukua yule kichenchede kwenye TVS yangu haooooo tukasepa njiani akauliza unanipeleka wapi nikamwambia tulia tunaenda sehemu salama kabisaaa. Nikatia gia hadi KWA BABU LODGE nikachukua chumba tukaingia ndani. Tulipiga show ya hatari maana yule kichenchede ni fundi balaa. Tumetoka pale too late nikampeleka maendeo ya kwa sista wake.
Kesho yake nafika Site fundi Beka ananiuliza jana ulimpeleka wapi yule mtoto, nikamjibu nlimpeleka kwa sista wake alikua hakujui.(sikutaka kumsimulia kilatukio mana pale Site Wife hua anakuja pia so sikutaka kuchoma kibanda kwa mdomo wangu)
Kiufupi yule Kichenchede aliliwa Kimasihara sana mana alinikuta nimekaa Site kizembe tu sina mpango nae hakutaraji kama angeliwa kizembe namna ile hata fundi Beka hakutaraji kama yule Kichenchede alikua anamuita aende akalombwe.
IMEISHA IYOOOOOOO



