Mkuu piga hilo goma jipya...afu utupe mrejesho. Kazi njema

Sent from my M2010J19SG using JamiiForums mobile app
 
Nilipanda basi mkweche toka jiji dogo kwenda jiji kubwa. Nilikaa na mwanamke, mwenyeji wa mbeya. Tulisalimiana halafu kila mtu na mawazo yake. Tumefika singida for lunch, akanikaribisha samaki. Mi nikaenda kula hotel. Narudi na juice yangu akaanza kulaum kwa nini kanikaribisha sijala. Nikamwambia awe na amani maana niliamini amebeba cha kutosha.

Tumefika jijini 04:00hrs. Nikamsaidia kubeba mizigo yake nikamuaga. Kaniinba simu nikampa nikasepa zangu.

Akaanza kuwa ananisalimia. Mi hata sikusave no yake. Lkn aliponitafta mara ya nne na kumtaka ajitambulishe, akalalamika sana kwa nini sitaki kusave no yake. Ilibidi nisave. Simu zake hazikukatika kwangu, ikabidi niwaze namna ya kumblock.

Siku moja amepiga simu nikamwambia yaani leo nimeona simu yako, lombo yangu imesimama ghafla. Akajifanya kustuka, unasemaje? Nikarudia tena simu yako imeliamsha dude. Natamani nikupate nikumbeto. Lengo nilitaka achukie aachane ns mimi. Badala yake mapenzi na mimi yalikuwa ghafla hadi akahakikisha nimemla kweli.

Maneno ya ngono kwa mwanamke usiyatamke kama huna nia naye
 
Mkuu piga hilo jeupe ambalo hujwai ligegeda ili ulinganishe utamu wa mbususu za mkuuu
 
Ngoja na mie nikuongeze pambaf sana 😂😀
 
Tunasema " kuweka alama kwanza" mapenzi ya kifilipino badae[emoji3][emoji3][emoji3]
 
hii lugha ya mbaka inanifurahishaga
 
mzee baba umetisha...
 
salute kwako baba wawili
 
Ziwa kama ziwa Victoria ungepita kijasusi tu
 
Weee usiniambie
 
Hiyo “maniaje yako “ingekuwa sabuni walai ungebakiwa na hizo nyasinyasi tu maana Mnara wa babeli ungeshafutika siku nyingi aise.

Unafiksi zisizoumiza🤣🤣🤣hatari sheikh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…