Uzuri wa mapenzi hayana laana, alikuwa ananiambia x wangu tukipeana tahadhali kwamba tukija achana hakuna laana kwa kila mmoja wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeee,mchezo huo nimeufanya sana nikiwa Chuo.
 
Ilikuwaje Mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah Dunia ina vituko hivi mweeeeeh.
 
Mnakutana na wajinga ndo mnawafanyia huo upuuzi, kutaneni na wajanja ndo mtajua kua hamjui, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaan nacheka km mwendawazimu lol,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ