Kwani ulikunywa na maandazi ama chapati hyo chai yaa jamaa???
 
Hii concept naikataa bro labda umechukulia kugegedana serious kiasi hicho acha kabisa,watu wana bahati zao,mie niliwahi kukutana na demu siku ya kwanza 2,kumuuliza jina anaitwa Anita,nikakumbuka wimbo wa Matonya ule Anita,nikaanza kumuimbia bhn mtoto akafurahi balaa,nilipokuwa naondoka nikamwambia 2 chumba changu ni kile pale ukipata muda nije nikuimbie vizuri,baada ya nusu saa naona mlango unagongwa nafungua nakutana na sura ya mrembo,yaliyoendelea humo ndani utajua ww
 
Niliwaomba wakakubali niwape 30k tuu, ila aibu nilipata, yaani najiona kama mtu ambaye anadeni la kulipa kurudisha uaminifu uliopoteza kwenye jamii
Pole sana mkuu fanya uhame huo mtaa wasijeharibu cv yako zaidi
 
mitaa gani mkuu nikapite huko na honda langu
 
Pata kwanza ya mkono mmoja naleta kashata
 
sambusa zaja
 
ukamuimbia mpka koo likakauka[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hakuna cha matatizo wala gundu, itakuwa una udomo zege mkuu na hujiamin sasa inapelekea uone mambo magumu. Kuna siku niliamua kufanya jaribio kwamba kutoka nyumban had kazin ni km 15 hivi, nikajisemea leo ndan ya hiz kilomita 15 lazima nipate mademu wawili, nikawa njian najiongelesha yule pale roho inasema piga chini je yule pale sawa, nika approach wanne, wawili wakaleta pozi za sitak nataka na wawili waliliwa siku mfuatano (consecutively).
Wanawake wanapenda kutiana ila wanaume kama ww ndio tunawatesa kwa kuwakosesha utam kwa kuamin ni ngumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu wamekuwa wanatunga story wanazileta apa na chai zao feki
sema ulianza kutongozaa si tu unakutana na mtuu yupo na kazi zake na wewe na kazi zako
gafla unatomba

au watu wengi wanakutana na malayaaaa
sijasikia mtuu kasema alimlipa labda bei flani hakuna iloo
 
Hahahaha mtu anasema anatomba kwenye pikipiki ghaflaghafla dem akiwa anaenda kwa mtu wke, bora angesema alipanda dau
 
Hahahaha mtu anasema anatomba kwenye pikipiki ghaflaghafla dem akiwa anaenda kwa mtu wke, bora angesema alipanda dau
acha kabisa badae wanasema wakalala kidogo baada ya chapili
 
ndugu mwenyekiti naomba huyu avuliwe uwanachama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…