Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Amka man bado upo usingizini mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

kwakweli kumekucha na sio mida ya kulala hii uzuri ni kwamba watu wanajua mabenk yanafungwa saa ngapi sikuiz alafu ingerokea ningesema ilikuwa jumapili angebisha wakati branch za mlimani city zinakuwaga wazi siku ya jumapili, mkaushie tu hajui kitu
 
we upo mkoa gani labda ? umewah kwenda mlimani city ukaona bank zinafungwa saa ngapi ? aje mtu hapa anisaidie, kama hiyo saa tisa na nusu ni kijijin kwenu sawa, alafu kitu kingine tulitoka sababu hata kama tungeendelea kukaa query yetu isingefanyiwa kazi siku ile ile sababu ili hela zirudi lazima wafanye audit ya hela za kwene machine, lazima hela zibalance ndio wajue za nani hazikutoka, na ishue ya kwenda nje sio kwamba ni lazima turud ndani tena kufuata hela, kumbuka kwamba wote tulishajua hiyo hela kwa siku hiyo tushaikosa, kilichokuwa kinatusubirisha ni kujua kama our call is on queue thats all , yan unaongea na mtu anaejua procedure zote za transactions zinazofanyika kwene ATM na Bank tena kama bank ulotaja naijua vibaya mno, we hata purge bin huijui, muwe mnakaa kimya mnajiabisha muda mwingine....Yan kwa taarifa ako mlimani city hadi jumapili mibenk inafunguliwa na wanakaa mpaka saa 11.
Kujifanya unajua kila kitu ni mbaya sana mbele ya wasomi..!! Jamaa kateleza achana nae hajui lolote kuhusu hayo ya kibenk
 
Naona mumefulia soon naleta new story...itakuwa moto sio ya kukosa itwasomwa usiku tu...kama hauna mke andaa vitendea kazi maan haita muacha mtu salama

[emoji73]
Wewe ungekuwa hapa mby ningekutafta nikule kimashala hahaaa
 
we upo mkoa gani labda ? umewah kwenda mlimani city ukaona bank zinafungwa saa ngapi ? aje mtu hapa anisaidie, kama hiyo saa tisa na nusu ni kijijin kwenu sawa, alafu kitu kingine tulitoka sababu hata kama tungeendelea kukaa query yetu isingefanyiwa kazi siku ile ile sababu ili hela zirudi lazima wafanye audit ya hela za kwene machine, lazima hela zibalance ndio wajue za nani hazikutoka, na ishue ya kwenda nje sio kwamba ni lazima turud ndani tena kufuata hela, kumbuka kwamba wote tulishajua hiyo hela kwa siku hiyo tushaikosa, kilichokuwa kinatusubirisha ni kujua kama our call is on queue thats all , yan unaongea na mtu anaejua procedure zote za transactions zinazofanyika kwene ATM na Bank tena kama bank ulotaja naijua vibaya mno, we hata purge bin huijui, muwe mnakaa kimya mnajiabisha muda mwingine....Yan kwa taarifa ako mlimani city hadi jumapili mibenk inafunguliwa na wanakaa mpaka saa 11.
Mkuu usihagaike kuwaaminisha watu. Cha msingi sisi tumeamini, na ni kweli mliman city bank wanachelewa kufunga, na bado bank zipo wazi hadi j2. So we endelea kutupa story nyingine. Hii tumeipenda kwa ujasiri wako, na mbinu zako.

Eti umemsalimia " shikamoo" [emoji1787]
 
kula tano mwanangu mtu anakaa huko ndani ndani anadhan mambo yatafanana na kati kati ya mji ? awe anauliza kwanza, kula [emoji1534] mwanangu
 
Back
Top Bottom