Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Naona mumefulia soon naleta new story...itakuwa moto sio ya kukosa itwasomwa usiku tu...kama hauna mke andaa vitendea kazi maan haita muacha mtu salama

Wewe ungekuwa hapa mby ningekutafta nikule kimashala hahaaa
 
we upo mkoa gani labda ? umewah kwenda mlimani city ukaona bank zinafungwa saa ngapi ? aje mtu hapa anisaidie, kama hiyo saa tisa na nusu ni kijijin kwenu sawa, alafu kitu kingine tulitoka sababu hata kama tungeendelea kukaa query yetu isingefanyiwa kazi siku ile ile sababu ili hela zirudi lazima wafanye audit ya hela za kwene machine, lazima hela zibalance ndio wajue za nani hazikutoka, na ishue ya kwenda nje sio kwamba ni lazima turud ndani tena kufuata hela, kumbuka kwamba wote tulishajua hiyo hela kwa siku hiyo tushaikosa, kilichokuwa kinatusubirisha ni kujua kama our call is on queue thats all , yan unaongea na mtu anaejua procedure zote za transactions zinazofanyika kwene ATM na Bank tena kama bank ulotaja naijua vibaya mno, we hata purge bin huijui, muwe mnakaa kimya mnajiabisha muda mwingine....Yan kwa taarifa ako mlimani city hadi jumapili mibenk inafunguliwa na wanakaa mpaka saa 11.
Mkuu usihagaike kuwaaminisha watu. Cha msingi sisi tumeamini, na ni kweli mliman city bank wanachelewa kufunga, na bado bank zipo wazi hadi j2. So we endelea kutupa story nyingine. Hii tumeipenda kwa ujasiri wako, na mbinu zako.

Eti umemsalimia " shikamoo"
 
Mkuu usihagaike kuwaaminisha watu. Cha msingi sisi tumeamini, na ni kweli mliman city bank wanachelewa kufunga, na bado bank zipo wazi hadi j2. So we endelea kutupa story nyingine. Hii tumeipenda kwa ujasiri wako, na mbinu zako.

Eti umemsalimia " shikamoo"

kula tano mwanangu mtu anakaa huko ndani ndani anadhan mambo yatafanana na kati kati ya mji ? awe anauliza kwanza, kula mwanangu
 
Mkuu acheni kubisha ukidakwa na mke wa mtu watu wanaweza kula kiboga bila shida? Na ucfifanye chochote... kwanza cku kinachofanyika unapewa warning ukileta ubishi wana kodiwa watu tòka mkoa unatengewa mtego wa demu then wanakuteka unaenda fumuliwa rinda vzr tu na vjana wenyewe wa cku hz wanavyopenda kitonga akiwekewa mtego wa dem mkali na pombe hachomoi
We mzee Kama ndio michezo yako kula viboga vya watu just hauko salama hata wewe kitaliwa kwa kisasa .
 
Kwenye huu uzi kila aliyekula/liwa tunda kimasihara basi ana:-

1. Ana muhogo, hakuna mwenye kibamia.

2. Alinyonywa mb**, hata kama huyo dame aliyemnyonya alikuwa ni bk.

3. Kila mtu alimkojolesha dame aliyemkula.

4. Kila mtu alipiga show ya dakika za kutosha, hakuna wale wa show za dakika 2 ameshamwaga af dame anaanza kumlaumu.

5. Kila mtu ni jasiri wa kiwango cha standard gauge hakuna mtu muogamuoga. (except yule jamaa aliyesema alizabwa kofi, nilimkubali sana huyu jamaa)

6. Unaweza kuendelea na ww
Kula kimasihara mara nyingi bao moja tena fasta sana ....mara nyingi mazingira hatarishi na hofu nyingi
 
Uko ndani gesti unagongewaje mlango nawe unafungua? Mlango ukigongwa usifungue, vaa kabisa, wasiliana na jamaa zako weje kuingeza nguvu na usitoke humo hadi polisi waitwe.
Umeniongezea point
 
Back
Top Bottom