Acha upumbavu kumtesa mtoto wa watu...
 
[emoji23][emoji23][emoji23] aalifanya padogo..mtuliege na wake zetu kutwa kucha na Michepuko yakiwakuta mnatweta..looh!!
[emoji23][emoji23][emoji23] HAMNA dada angu,
Uyu mchepuko alisahau Sana.

Akasahau mi sio mwanaume wa kupelekeshwa pelekeshwa.

Kwa upuuzi ule ningeendelea kumchekea,
Kesho ningetelekeza familia hivi hivi.

Tena na ada za watoto nisingelipa Tena.

Afu anakwambia
"Sasa BBY mitoto yenyewe ile Haina akili Kama Mama ake, Unapoteza TU ada yako kuwalipia Mbuzi wale"

Afu ukute mwanaume akili ushashikwa unakenua kenua TU meno[emoji16][emoji16][emoji16] familia inateketea.

Ukishafulia,
anakutelekeza unarudi kwa mkeo kichwa chini mikono nyuma huna hata buku mfukoni.

Na wake zetu walivyoumbiwa na huruma,
Anakupokea na maji ya kuoga ana kutengea

DAH! MAISHA HAYA[emoji848]

MUNGU AWAPE MAISHA MAREFU wake ZETU KWA UVUMILIVU WAO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabu zoote hizo za nini..

Halafu sisi wanaume tunajificha kwenye kichaka cha HULKA
Matamanio tumeumbiwa, ni mtihani kwetu sisi, hiyo inabidi tuyashinde hayo matamanio tuwe wenye kufaulu, na sio kuendekeza na kuwa ni wenye kufaulu.

Tizama chief, vipi kama mkeo angekuwa na akili fupi akajidhuru(kujiua) tayar kina G ungewapa majanga mengine.
Vipi kama angekufa kwa ile presha, bila kujua km mchepuko kasababisha, kwa akili za nyege inawezekana na huo mchepuko ndio angekuwa mke anaefata kumrithi marehemu, sasa jenga picha una kichwa maji kama huyo ndio mkeo, familia unaitengemeza ama unaizamisha[emoji848]
 
Kuna mambo yanasikitisha sana...
Tulia na familia yako, ingawa tabia ni kama ngozi...
Ndoa Ni Kama siasa,
Ukiiishi kwenye ndoa unatakiwa uishi kisiasa zaidi.

Kwa wife
Maneno meengi, kupetipeti kwiiingi, vijizawadi vya hapa na pale.

Matunzo na kila kitu kinaenda sawa nyumban.

Yaan Unang'ata uku unapuliza, sio unachepuka mpk posho ya meza huachi na familia unasahau kabisa.

Hapo Kama baba wa familia unakua umefeli kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na changamoto zote ulizopita bado huachi michepuko una roho ngumu, achana na hao visirani
 
Mkeo ni moja ya wanawake bora kabsia wale wavumilivu na wenye upendo wa dhati, shida unaendelea tena kumuumiza mkeo na ni mvumilivu sana na muelewa achana na michepuko mkuu, halfu watu huchepuka kwasababu maalumu unakuta mke mkorofi au ana shida fulani sasa mkeo sioni shida yake ya kumfanyia hayo yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…