Yule boy wangu baada ya kuja kugundua rafiki yake alikula mzigo akanipotezea. Huyo rafiki yake (mume wangu) ikabidi tuingie rasmi kwenye mahusiano na badae tukafunga ndoa. Tuna amani sana.
jamaa akaamua awapotezee wote maaana nyie ni masnitch...mwana yuko selo nyie mnapigana pumbu..tena jamaa katuma nauli...aiseee hongera zako..ila nduo maana watu huwa wanaishi na gunia za mkaa kwa mambo kama haya..
 
Siku ya Birthday yangu ukafanya uzinzi!!? [emoji3][emoji3][emoji3] Kanuni moja wapo ya gheto ni kuwa na shuka nyingi maana kufua ni majaliwa.
Mimi naishi mwenyewe na Nina mashuka 5, nilikuwa nimefua kila kitu, nguo, mashuka, na net isipokuwa pazia tu, afu kubwa kinoma!
 
ndo maana kila siku nasema ntakosa nyumba ila gari lazma,ntalala njaa ila perfume ya gharama ntanunua.katika watu wanaopenda kunukia nukia na kuning'iniza funguo na mm nimo.
 
we rikiboy ww[emoji1].mods wanakudiscus sana awapat majibu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wadada / wanawake wakielezea namna waliliwa kimasihara baadhi yetu tunawashambulia kwa maneno makali nadhani hii ndio sababu miongoni mwao wana simulizi lakini wakiona namna wenzao waliopost wanavyoshambuliwa wanaamua kupotezea simulizi zao.

Please please wadada njoonj Msimulie mluvyolkwa kimasihara jamani....
Mimi Nikiona Mtu amewashambulia nakuka nae sahani Moja Aiseee siwezi kukubali!
Hata Kama Sipo Online wewe mdada ni Tag tuu jina langu namshambulia kila anapopost kitu hata Kama ni Jukwaa lingine...
Ila Sasa Wadada wengine wanaongopa sanaa mpaka Ladha inapotea...yuke sijui Queen nani akiwa na Kaka yake mara jamaa kamla hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…