Mimi nadhani tujifunze kutofautisha majukwaa, jukwaa la mapenzi mtu anataka akute ujasiriamali na siasa. Ukienda siasani mtu analeta dini, ilmradi tu akosoe.

Mungu hakuwa mjinga kuumba ulimwengu na vilivyomo ikiwemo ngono. Kuna watu hujiona wao ni wema sana mbele za watu lakini wayafanyayo sirini ni makubwa na maovu kuliko kula kimasihara. Udumu uzi wa kula kimasikhara maana hata mods huwa wanasoma kimyakimya.
 
Achana nae, anaona wivu sababu hakuwa yeye. Nasubiri muemdelezo

Darlin
 
Over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…