Haiwekan mgen ahanze tu kukunyanyua kukupelea chumbani bila kufikilia usalam wa kukutwa ukizingatia huyo ulosema bro wko anaweza Rudi mpema,
Ulosema bro wako asingemuach mgeni wakat alikuwa na uwez wa kuondoka naye ukizingatia alikuwa na gari, (hi ni chai dhahiri kabisa)
Huu Uzi mwanzo ulikuwa na Visa vingi ambavyo uwezi dought kabsa mtu Kam kigakoyo,
Nzi Chuma JBourne59 walikuwa na Visa logic kabsa
Hadi kuzarisha story Kam""" how I met my wife"" au uhusiano wangu na hamida"",
Lakini saizi wat wanaleta chai unayoiona kabsa ,imekuwa Kam wanataka tu sifa flani, Kama huna kiza cha kweli kbasi jaribu kutunga vizuri,
Mnaharibu tu uzi