Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,844
- 57,504
Ndiyo kitu binafsi naogopa.hakuna msala mbovu kama kukutwa ready handed mkuu 😀 😀 😀
Unakula then Una nawa mikono, huwezi kukutwa
Ndiyo kitu binafsi naogopa.hakuna msala mbovu kama kukutwa ready handed mkuu 😀 😀 😀
namna hiyo hakuna mambo mengiNdiyo kitu binafsi naogopa.
Unakula then Una nawa mikono, huwezi kukutwa
Ningefurahi Ungeniuliza Nipo Wap japo nisingekujbu Lakn Inge make Sence kdgKama alipungukiwa 15k, unamaanisha alienda stand kukata tiketi ta kwenda Iringa kwa elfu 10?


we jamaa chenga sanaHuu Uzi umeniponza pakubwa Sana'a
Najuta yaani
Baada ya kusoma kisa cha mwamba mmoja alietafuna rafiki wa mkewe nami nikajipa umwamba.
Majuzi hapa nikamcheki rafiki wa mama yoyoo home .
Nikmwambia nije kwake nna mazungumzo nae.
Akasema niende.
Basi Baharia nikabeba na kondomu kabisaaa huku moyo ukisuuzika kabisa
Kufika baada ya stori mbili tatu nikamsogela kwenye sofa alipokuwa amekaa .
Nikakumbuka ile tecnic ya yule mwamba wa Uzi ule (kushika paja)
Ile kushika tu naona yupo kimya .
Nikasema mambo yametick Leo kiazi najilia vinono .
Nikapanda mpka kwenye matiti
Kufika hapa ghafla nikastuka bonge la mkibao limetua usoni ..yaani mpaka nikaona mabati yapo sita sita .
Ikabidi nitoke nduki Mimi mwana wa nyange ..bahati nzuri mpka sasa hajasema kwa mama yoyoo.
Ulaaniwe huo Uzi
Alaah
Kabisa pimbi huyuuna akili za kushikiwa




Imeniumiza sana Kofi lake limeacha alamauna akili za kushikiwa