Ulishawahi kukutana na mwanamke wa aina hii?

Achana na stori za vijiweni, nenda ukapate matibabu na ufurahie maisha kama wengine
Nime attempt mara mbili kufanyiwa upasuaji pale regency hospital lkn ikashindikana sababu pressure ilikuwa inakuwa juu sana, yaani mkuu Jimena hata ninapoandika muda huu napumua Kwa shida mnooo
 
Nime attempt mara mbili kufanyiwa upasuaji pale regency hospital lkn ikashindikana sababu pressure ilikuwa inakuwa juu sana, yaani mkuu Jimena hata ninapoandika muda huu napumua Kwa shida mnooo
Pole sana, jitahidi ukafanyiwe upasuaji, halafu kuondoa hizo nyama wala sio kitu cha kutisha kwahiyo ukienda tena ujitahidi sana kurelax ili zoezi likamilike! Huna haja ya kuhofia, wataziondoa na utabaki salama na mwenye furaha!!
 
Ahsante sana kiongozi wangu maana nateseka sana aisee,kuingia theatre mara mbili bila mafanikio inaniumiza mnoo
 
Katika harakati zangu za kutafuta maisha hapa na pale. Nilifahamiana na mdada mmoja. Baada ya kuwa karibu na Yule mdada tulianzisha mahusiano ya kimapenzi. Siku ya kupiga show nilimwelekeza aje getto.Totoz alifika bila wasi na hatukupoteza mda tukaanza romance.Huwa nina utaratibu wa kucheck kule down kama pamelowa kabla ya show yenyewe.

Harufu niliyokutana nayo aisee sitoweza kuisahau kwani ilinisababishia mafua makali siku iliyofuata! Papuchi ilikuwa inatoa harufu mbaya Kali balaa! Sikuweza tena kuendelea na nilienda kuosha mikono kwa Dettol nikaondoka chumbani!

Yule demu akaanza kunikashfu kwa washkaji zangu! Kwamba wanichunguze Nina matatizo lakini yeye ndio alikuwa na matatizo kwanini mdada anayejielewa papuchi itoe harufu Kali dizaini hiyo?

Wadada embu tupeni majibu. Haswa nini hupelekea kusababishwa hali hiyo
Ulipata ulichotafuta mwanangu. Si uoe tu badala ya kujitesa na kutaharisha maisha yako hivyo.
 
Harufu mbaya yanamna hiyo inavisababishi vingi maambukizi ya bakteria, dalili ya kansa ya kizazi, mabaki ya damu ya hedhi na uchafu wa mtu binafsi. Anzia hapo kumsaidia. Ni vizuri ukamshauri kwenda hospital kuliko kumnanga.
 
Katika harakati zangu za kutafuta maisha hapa na pale. Nilifahamiana na mdada mmoja. Baada ya kuwa karibu na yule mdada tulianzisha mahusiano ya kimapenzi. Siku ya kupiga show nilimwelekeza aje getto. Totoz alifika bila wasi na hatukupoteza muda tukaanza romance. Huwa nina utaratibu wa kucheck kule down kama pamelowa kabla ya show yenyewe.

Harufu niliyokutana nayo aisee sitoweza kuisahau kwani ilinisababishia mafua makali siku iliyofuata! Papuchi ilikuwa inatoa harufu mbaya Kali balaa! Sikuweza tena kuendelea na nilienda kuosha mikono kwa Dettol nikaondoka chumbani!

Yule demu akaanza kunikashfu kwa washkaji zangu! Kwamba wanichunguze nina matatizo lakini yeye ndio alikuwa na matatizo kwanini mdada anayejielewa papuchi itoe harufu kali dizaini hiyo?

Wadada embu tupeni majibu. Haswa nini hupelekea kusababishwa hali hiyo
itakuwa haitumiki mara kwa mara,so inauvundo . ilitakiwa uizoeshe matumizi ingekaa sawa tu.
 
Back
Top Bottom