Ulishawahi kukutana na mwanamke wa aina hii?

Katika harakati zangu za kutafuta maisha hapa na pale.Nilifahamiana na mdada mmoja.Baada ya kuwa karibu na Yule mdada tulianzisha mahusiano ya kimapenzi.Siku ya kupiga show nilimwelekeza aje getto.Totoz alifika bila wasi na hatukupoteza mda tukaanza romance.Huwa nina utaratibu wa kucheck kule down kama pamelowa kabla ya show yenyewe.
Harufu niliyokutana nayo aisee sitoweza kuisahau kwani ilinisababishia mafua makali siku iliyofuata!papuchi ilikuwa inatoa harufu mbaya Kali balaa! Sikuweza tena kuendelea na nilienda kuosha mikono kwa Dettol nikaondoka chumbani! Yule demu akaanza kunikashfu kwa washkaji zangu! Kwamba wanichunguze Nina matatizo lakini yeye ndio alikuwa na matatizo kwann mdada anayejielewa papuchi itoe harufu Kali dizain hiyo???!!
Wadada embu tupeni majibu.Haswa nini hupelekea kusababishwa hali hiyo!
Itakuwa infection mkuu
 
Huo ni ugonjwa wa wanawake tu unitwa BV (Bacterial Vaginosis), kama pisi kali unaipenda vumiliaga tu hiyo harufu, muonyeshe upendo, mwambie aende kituo cha afya atapatiwa dawa kuweka mambo sawa.
 
Hebu mtukamatege huto tubinti kwanza mtuingize bafuni. Mtusugue weeeee sugu zote zitoke na mekapu zooote, wakateni na kucha weee mpaka mrizike na muone Kama wanafaa kuliwa au la.

Tuchachooka nyimbo za harufu mnakuwa Kama watoto wadogo bwana nyie na hao wapenzi wenu. Mnakimbilia kutombana wakati kujiswafi hamjui. Manina nyie.
Hahaha dada leo kweli umekasirika....
Hata kiingereza hujatumia kuweka msisitizo0🙈🙈🙈
 
Tatizo huwa mnaficha... Mwanamke UnaweZa ukaoga Hadi ukafanyq douching... Lakini hiyo harufu mbaya huwezi isikia mwenyewe...

Labda Kama unamaradhi maabaya sana
Douching is scientifically not adviced too...

Sema kuna debate hapa..wadada wa uswahilini huwa ni wasafi sana na kwenye kuchunguza ni kuwa huwa wanafanya douching,kitu ambacho wanasayansi wanapinga kwa kusema Uke unajiosha wenyewe na mwanamke inabidi ajioshe tu kwa juu
 
Mimi. Pia hua naambiwa LAZIMA nihakikishe hedhi imeisha kwa kufanya douching na kitaambaa cheupe..ili kuswali..( Situmii kitaambaa cheupe natumia vile vipamba vya kuchokonolea masikio)

Alafu pia sisi waisilamu...hatukai na manajisi..mtu unakaa week unakojoa tu hutumii maji.....maji Mpaka uoge ndo uoshe uke ...But Swala la uswafi wa uke Ni kunawa TU... Huitaji Sana kufanya douching. Pia kunawa na kuhakikisha unamaliza kinyesi .....

Wanawake wanabinjuliwa binjuliwa Sasa Kama huchambi viZuri..unaweza hata kunuka kinyesi..
 
Mimi. Pia hua naambiwa LAZIMA nihakikishe hedhi imeisha kwa kufanya douching na kitaambaa cheupe..ili kuswali..

Alafu pia sisi waisilamu...hatukai na manajisi..mtu unakaa week unakojoa tu hutumii maji.....maji Mpaka uoge ndo uoshe uke ...But Swala la uswafi wa uke Ni kunawa TU... Huitaji Sana kufanya douching. Pia kunawa na kuhakikisha unamaliza kinyesi .....

Wanawake wanabinjuliwa binjuliwa Sasa Kama huchambi viZuri..unaweza hata kunuka kinyesi..
Eeeee,kumbe Swala Tano wewe!!??..Good
 
Eeeee,kumbe Swala Tano wewe!!??..Good
.. Hilo Sio hata la kuongelea..Swala hapa Ni usafi.. Mimi Mama yangu Alikua ananiambia wanawake wa kiisilamu ni wasafi na wapishi wazuri ..alikua analisema Sanaa...Japo yeye SI muislamu kabisa..

But baada ya kuielewa kidogo Dini.. Uisilamu Ni usafi..Wa Roho, Mwili na matendo....yaani usafi kuijumla...
 
Daah,kwahiyo mpango wangu wa kukuoa ndo basi tena?..maana niliona sehemu umetema cheche kinoma kuwa huwezi kuchange dini anyhow
 
Kwangu HILO HALIWEZAKANI...naona kuwa na Dini Tofauti Ni kupelekana JEHANAMU..
(Athiest atakaeona hii comment ..apuuze TU..Sina Muda wa kubishana)
 
Nilishaga wahi kukutana na hiyo hali kwa mwanamke

Nilikuwa na ukame ikabidi nimgegede tu japo kwa shingo upande

Nilipiga tako sita na nusu

Nilivyomaliza nikamwambia ukweli na nikamsaidia kupata dawa

Amepona na yupo salama kabisa kwa matumizi ya binadamu
 
Ila mm nina bahati sana sisikii harufu yoyote sababu ninatatizo la nyama puani au nyama za pua so nagegeda bila kuhisi harufu yoyote [emoji2]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom