Ulishawahi kukutana na mwanamke wa aina hii?

Ila mm nina bahati sana sisikii harufu yoyote sababu ninatatizo la nyama puani au nyama za pua so nagegeda bila kuhisi harufu yoyote [emoji2]
Katoe hizo nyama
Nenda hospital
 
Katika harakati zangu za kutafuta maisha hapa na pale.Nilifahamiana na mdada mmoja.Baada ya kuwa karibu na Yule mdada tulianzisha mahusiano ya kimapenzi.Siku ya kupiga show nilimwelekeza aje getto.Totoz alifika bila wasi na hatukupoteza mda tukaanza romance.Huwa nina utaratibu wa kucheck kule down kama pamelowa kabla ya show yenyewe.
Harufu niliyokutana nayo aisee sitoweza kuisahau kwani ilinisababishia mafua makali siku iliyofuata!papuchi ilikuwa inatoa harufu mbaya Kali balaa! Sikuweza tena kuendelea na nilienda kuosha mikono kwa Dettol nikaondoka chumbani! Yule demu akaanza kunikashfu kwa washkaji zangu! Kwamba wanichunguze Nina matatizo lakini yeye ndio alikuwa na matatizo kwann mdada anayejielewa papuchi itoe harufu Kali dizain hiyo???!!
Wadada embu tupeni majibu.Haswa nini hupelekea kusababishwa hali hiyo!

Muite kaa nae mwambie kistaarabu ili mtibu hilo tatizo.
Niliwahi kudate na mwanamke wa aina hiyo, ni mrembo haswa ila alikuwa na hiyo shida, siku ya kwanza sikuweza kushiriki zaidi ya round moja.
Nilipata shida sana kumwambia lakini ilibidi nimwambie maana nilikuwa namkubali sana kwanza ni mtu bright upstairs.
Nilimuomba tuonane tukakaa sehemu tulivu tukala msosi then nikamwambia kwanini siku ya kwanza nilifeli kazi.
Alinielewa na tukaenda dispensary akaandikiwa dawa inaitwa Gynazole ya cream nakumbuka ilikuwa Tsh. 12,000 pharmacy, akatumia ile dawa mpaka ile tube ikaisha.

After hapo akawa saafi show show.

Tafuta namna ya kuongea nae, jitahidi uwe na lugha nzuri asijekukuchukulia negatively
 
Ungemuambia mhusika ,wengi huwa hawajielewi kama wananuka huko ikulu..

Kuna wa hivyo niliwahi kukutana nae,nilichofanya nilijifanya kuwa nimeanza kuumwa tumbo ghafla hivyo sitoweza kupiga show..kesho yake nikamuita ghetto tena nikamchukua mpaka hospitalin njian nikawa namuambia kuna issue haiko sawa mwilin mwake naomba tukamuone specialist ,mwanzo alitaka kugoma nikamwambia ni kwa faida yake..tulifika hospital akapata tiba na kupona..

Saiv ni mke wa mtu ana mtoto mmoja..ila nikitaka kumla muda wowote hana noma na mimi kabisa.
 
Katika harakati zangu za kutafuta maisha hapa na pale.Nilifahamiana na mdada mmoja.Baada ya kuwa karibu na Yule mdada tulianzisha mahusiano ya kimapenzi.Siku ya kupiga show nilimwelekeza aje getto.Totoz alifika bila wasi na hatukupoteza mda tukaanza romance.Huwa nina utaratibu wa kucheck kule down kama pamelowa kabla ya show yenyewe.
Harufu niliyokutana nayo aisee sitoweza kuisahau kwani ilinisababishia mafua makali siku iliyofuata!papuchi ilikuwa inatoa harufu mbaya Kali balaa! Sikuweza tena kuendelea na nilienda kuosha mikono kwa Dettol nikaondoka chumbani! Yule demu akaanza kunikashfu kwa washkaji zangu! Kwamba wanichunguze Nina matatizo lakini yeye ndio alikuwa na matatizo kwann mdada anayejielewa papuchi itoe harufu Kali dizain hiyo???!!
Wadada embu tupeni majibu.Haswa nini hupelekea kusababishwa hali hiyo!
Ungemuuliza kwanz yey half jibu lake unakuja kulinganisha na majibu ya huku ili upate jibu kamili.
 
ungemsaidia kwa kumpeleka kwa wataalamu atibiwe na sio kutoka nduki.
 
Hiyo harufu mfano wako ni sawa na panya aliyeoza usiombe kukutana nayo
 
That is the sign of unbalanced viginal pH... Unaweza jiuliza Viginal pH ni nini? Hicho ni kipimo cha kemikali ukeni. Acid and alkaline (basic) .... Kwa kawaida
Ke wa miaka 15 hadi 49 tuseme umri wa kuzaa pH yake ni chini ya 4.5 kabla ya hedhi na baada ya kumaliza hedhi, pH huwa zaidi ya 4.5 mpaka 7 hivi. Hapo tunasema uke una afya njema.

Kwa nini ni muhimu kuzingatia pH ya uke? pH ni mlinganyo wa tindikali inayotoa kinga ya kuzuia bakteria wabaya wasizidi mpaka kuleta maambukizi ukeni. pH ikiwa balanced hufanya bacteria wazuri kuulinda uke.

pH ya uke ikizidi mfano ikawa 14 maana yake kemikali huzidi na kuua bacteria wanaolinda uke na kuanzia hapo uke unaweza kushambuliwa na bacteria wabaya. Ambao tunaita VB

Vaginosis bacteria (VB) ni hali ya kuzidi kwa bakteria ambapo husababisha harufu mbaya (kama aliyokutana nayo mtoa mada) na hii huambatana na kutokwa na ute wa kijivu au mweupe au manjano isiyo ya kawaida.

Inaweza pia kusababisha kuwashwa ukeni na kuchomachoma wakati wa kukojoa.

Harufu au maambukizo hutofautiana kutoka ke mmoja kwenda mwingine.

VB sio hatari yenyewe, lakini wanawake ambao wana hali hii wako katika hatari kubwa ya maambukizo. Kuna sababu nyingi zinazo sababisha pH Viginal unbalanced mfano papillomavirus ya binadamu (HPV), virusi vya herpes simplex au VVU.

Pamoja na matumizi ya antibiotics, kuosha uke kwa sabuni mara kwa mara, kupulizia manukato (perfum) kuweka viungo .. kama vitunguu, hamila, vinegar, uchafu wa nguo za ndani, kutotawaza kwa maji safi unapomaliza haja ndogo nk.

Ukijipata una hali hiyo osha uke kwa maji safi ya vuguvugu jikaushe kwa nguo safi. Endapo hali itazidi muone daktari kwa msaada zaidi.

Usimkasirikie pisi kali wako msaidie mfurahie maisha.
 
Katika harakati zangu za kutafuta maisha hapa na pale.Nilifahamiana na mdada mmoja.Baada ya kuwa karibu na Yule mdada tulianzisha mahusiano ya kimapenzi.Siku ya kupiga show nilimwelekeza aje getto.Totoz alifika bila wasi na hatukupoteza mda tukaanza romance.Huwa nina utaratibu wa kucheck kule down kama pamelowa kabla ya show yenyewe.
Harufu niliyokutana nayo aisee sitoweza kuisahau kwani ilinisababishia mafua makali siku iliyofuata!papuchi ilikuwa inatoa harufu mbaya Kali balaa! Sikuweza tena kuendelea na nilienda kuosha mikono kwa Dettol nikaondoka chumbani! Yule demu akaanza kunikashfu kwa washkaji zangu! Kwamba wanichunguze Nina matatizo lakini yeye ndio alikuwa na matatizo kwann mdada anayejielewa papuchi itoe harufu Kali dizain hiyo???!!
Wadada embu tupeni majibu.Haswa nini hupelekea kusababishwa hali hiyo!
Ulitakiwa umwage dettol kwenye papuchi yake kuua bacteria
 
Yeye anaona kawaida tu
Aisee nilikutana na pisi moja kali sana maeneo ya Posta Mpya,tukafahamiana baadae tukawa Wapenzi. Siku ya Kwanza ya kuduu aisee,yule kupima oil kwa kidole kulitoka harufu kali balaa hamu yote ikaisha nawa mkono wapi harufu ilidumu siku tatu mkononi. Nikamtema lakini baada ya kukaa mwezi nikaona nimshauri aende hospital akacheki tatizo,akawa mwelewa. Nikamuagiza aende Kairuki Mikocheni kwa Dr fulani tena kwa gharama zangu akatibiwa akapona kabisa. Hadi kesho ananiona Mimi ni mkombozi wake maana anasema ilimtesa sana japokuwa sina hamu nae ya kimapenzi tena.
 
Ila mm nina bahati sana sisikii harufu yoyote sababu ninatatizo la nyama puani au nyama za pua so nagegeda bila kuhisi harufu yoyote [emoji2]
Hii sio bahati mkuu kuweza kusikia harufu ni jambo zuri ili uweze tambua hichi kikosawa na kinaweza tumika
 
Ungemuambia mhusika ,wengi huwa hawajielewi kama wananuka huko ikulu..

Kuna wa hivyo niliwahi kukutana nae,nilichofanya nilijifanya kuwa nimeanza kuumwa tumbo ghafla hivyo sitoweza kupiga show..kesho yake nikamuita ghetto tena nikamchukua mpaka hospitalin njian nikawa namuambia kuna issue haiko sawa mwilin mwake naomba tukamuone specialist ,mwanzo alitaka kugoma nikamwambia ni kwa faida yake..tulifika hospital akapata tiba na kupona..

Saiv ni mke wa mtu ana mtoto mmoja..ila nikitaka kumla muda wowote hana noma na mimi kabisa.
Dah!!!mnatugongea tu wake zetu vile mnavyotaka haya kwasababu nao wanapenda endeleeni kuwafaidi
 
Aisee nilikutana na pisi moja kali sana maeneo ya Posta Mpya,tukafahamiana baadae tukawa Wapenzi. Siku ya Kwanza ya kuduu aisee,yule kupima oil kwa kidole kulitoka harufu kali balaa hamu yote ikaisha nawa mkono wapi harufu ilidumu siku tatu mkononi. Nikamtema lakini baada ya kukaa mwezi nikaona nimshauri aende hospital akacheki tatizo,akawa mwelewa. Nikamuagiza aende Kairuki Mikocheni kwa Dr fulani tena kwa gharama zangu akatibiwa akapona kabisa. Hadi kesho ananiona Mimi ni mkombozi wake maana anasema ilimtesa sana japokuwa sina hamu nae ya kimapenzi tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku tatu duh!!!kama ndio ulifukunyulia madini kwa kidole cha mkono wa kulia si balaa hilo
 
Back
Top Bottom