Ulishawahi kukutana na mwanamke wa aina hii?

Ulishawahi kukutana na mwanamke wa aina hii?

Ila mm nina bahati sana sisikii harufu yoyote sababu ninatatizo la nyama puani au nyama za pua so nagegeda bila kuhisi harufu yoyote [emoji2]
Nenda kafanye operation uziondoe kwanini unaziendekeza mpaka sasa. Utapata raha sana kutambua harufu, mdogo wangu kafanyiwa operation akiwa 17yrs alifurahi sana experience ya kupata harufu na kupumua vizuri. Huna tatizo la kubana kifua?
 
Hivi huwa mnakagua mlichokiandika au ni hobelahobela tu.Mengine muwe mnabaki nayo vichwani.Siyo lazima uandike.Grow up you kids!
 
Katika harakati zangu za kutafuta maisha hapa na pale. Nilifahamiana na mdada mmoja. Baada ya kuwa karibu na Yule mdada tulianzisha mahusiano ya kimapenzi. Siku ya kupiga show nilimwelekeza aje getto.Totoz alifika bila wasi na hatukupoteza mda tukaanza romance.Huwa nina utaratibu wa kucheck kule down kama pamelowa kabla ya show yenyewe.

Harufu niliyokutana nayo aisee sitoweza kuisahau kwani ilinisababishia mafua makali siku iliyofuata! Papuchi ilikuwa inatoa harufu mbaya Kali balaa! Sikuweza tena kuendelea na nilienda kuosha mikono kwa Dettol nikaondoka chumbani!

Yule demu akaanza kunikashfu kwa washkaji zangu! Kwamba wanichunguze Nina matatizo lakini yeye ndio alikuwa na matatizo kwanini mdada anayejielewa papuchi itoe harufu Kali dizaini hiyo?

Wadada embu tupeni majibu. Haswa nini hupelekea kusababishwa hali hiyo
Wapo wengi hata humu JF...IIa unanikumbusha kuna siku tulikwenda kwenye marathon mkoani niliwahi kuutema mzigo Pisi kali lakini tukiwa chumbani Lodge alikuwa anatoa harufu kali....nikamdanganya nakwenda kuleta vinywaji toka baa .....pale baa nikakuta washkaji wa kampani yetu wanagonga vyombo nikawapa stori kwamba sirudi tena chumbani demu amenipotezea stimu kwa harufu ya uozo na hata chupi ni chafu balaa...jamaa yetu mmoja kwenye ile kampani yetu akajitoa mhanga kwenda kula papuchi hivyo hivyo kwa hiyo tukabadilishana vyumba......baadaye nikamuuliza aliwezaje kula uozo akasema kwanza alimloweka kwa muda kwenye ndoo yenye sabuni ya OMO (anadai alimtuma mhudumu).baada ya hapo demu akawa bomba kinyama, akala kimasihara
 
Mimi. Pia hua naambiwa LAZIMA nihakikishe hedhi imeisha kwa kufanya douching na kitaambaa cheupe..ili kuswali..( Situmii kitaambaa cheupe natumia vile vipamba vya kuchokonolea masikio)

Alafu pia sisi waisilamu...hatukai na manajisi..mtu unakaa week unakojoa tu hutumii maji.....maji Mpaka uoge ndo uoshe uke ...But Swala la uswafi wa uke Ni kunawa TU... Huitaji Sana kufanya douching. Pia kunawa na kuhakikisha unamaliza kinyesi .....

Wanawake wanabinjuliwa binjuliwa Sasa Kama huchambi viZuri..unaweza hata kunuka kinyesi..
Umeongea point
 
Yaani ukutane na mdada wa buza huko uje utuulize wadada wa humu kweli? Ungemuuliza mwenyewe angekupa jibu sahihi zaidi. Ila huenda dada wa watu katoka mbali huko majasho njiani nk! Anafika unaunganisha game kwanini msioge kwanza? Unaharaka ya nini alikwambia ataondoka soon?
 
Hebu mtukamatege huto tubinti kwanza mtuingize bafuni. Mtusugue weeeee sugu zote zitoke na mekapu zooote, wakateni na kucha weee mpaka mrizike na muone Kama wanafaa kuliwa au la.

Tuchachooka nyimbo za harufu mnakuwa Kama watoto wadogo bwana nyie na hao wapenzi wenu. Mnakimbilia kutombana wakati kujiswafi hamjui. Manina nyie.
Dah! Aisee
 
Yeye anaona kawaida tu
sasa kwa sisi tunaozama chumvini mbona harufu nzuri tu tena ya K original
km beberu ananusa na kushtua mtalimbo binadamu kwanini asipapende
nirushie namba zake
 
Hapo we ndo ulikosea ile sehem ni yakuingiza nyoka sio Kidole [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Humu naona kuna wadamaria pekee. Kila aliyekutana na harufu mbaya alimpeleka demu hospitali tena kwa gharama zake na kila demu ni mwelewa.
 
.. Hilo Sio hata la kuongelea..Swala hapa Ni usafi.. Mimi Mama yangu Alikua ananiambia wanawake wa kiisilamu ni wasafi na wapishi wazuri ..alikua analisema Sanaa...Japo yeye SI muislamu kabisa..

But baada ya kuielewa kidogo Dini.. Uisilamu Ni usafi..Wa Roho, Mwili na matendo....yaani usafi kuijumla...
Tatizo unakuta wale Boko na IS wanamatendo ya hovyo. Au ndio usafi wenyewe?
 
Nenda kafanye operation uziondoe kwanini unaziendekeza mpaka sasa. Utapata raha sana kutambua harufu, mdogo wangu kafanyiwa operation akiwa 17yrs alifurahi sana experience ya kupata harufu na kupumua vizuri. Huna tatizo la kubana kifua?
Kifua hakibani mkuu nimejaribu two times kufanya operation tatizo linakuja nikiingia theater pressure inapanda madaktari wananiambia hawawezi kuendelea na upasuaji sababu pressure iko juu sana yaani nakosa raha sana , juzijuzi nikasikia tangazo redioni kuwa kuna watu wanatibu Kwa tiba mbadala nikaenda huko wakanipa dawa tena bei zao zimechangamka kweli kweli lkn sikuona dalili yoyote hata kuachia kidogo nilipowapigia wakasema eti inatibu taratibu sana tofauti na dawa za hospitali wakanishsuri niende tena nikaongeze dozi nyingine,nikafikiria nikaona nitakuwa napigwa tu bora niendelee na matibabu ya hospitali nina Dr wangu pale Regency anaitwa Dr Edwin kwakweli Iam so confused aisee huwa napata taabu sana kipindi cha baridi au nikienda sehemu zenye baridi napumulia mdomo
 
Katika harakati zangu za kutafuta maisha hapa na pale. Nilifahamiana na mdada mmoja. Baada ya kuwa karibu na Yule mdada tulianzisha mahusiano ya kimapenzi. Siku ya kupiga show nilimwelekeza aje getto.Totoz alifika bila wasi na hatukupoteza mda tukaanza romance.Huwa nina utaratibu wa kucheck kule down kama pamelowa kabla ya show yenyewe.

Harufu niliyokutana nayo aisee sitoweza kuisahau kwani ilinisababishia mafua makali siku iliyofuata! Papuchi ilikuwa inatoa harufu mbaya Kali balaa! Sikuweza tena kuendelea na nilienda kuosha mikono kwa Dettol nikaondoka chumbani!

Yule demu akaanza kunikashfu kwa washkaji zangu! Kwamba wanichunguze Nina matatizo lakini yeye ndio alikuwa na matatizo kwanini mdada anayejielewa papuchi itoe harufu Kali dizaini hiyo?

Wadada embu tupeni majibu. Haswa nini hupelekea kusababishwa hali hiyo
Wewe!!! narudia tena sijakosea weewee kijana!!!!!!! heeee....
 
Yaani ukutane na mdada wa buza huko uje utuulize wadada wa humu kweli? Ungemuuliza mwenyewe angekupa jibu sahihi zaidi. Ila huenda dada wa watu katoka mbali huko majasho njiani nk! Anafika unaunganisha game kwanini msioge kwanza? Unaharaka ya nini alikwambia ataondoka soon?
Hii imenikumbusha story moja wakati tunasoma seminary miaka ya 80 mwishoni kuelekea 90.Siku za sikukuu tulikuwa tunapewa off kwenda kutembea mjini shule ilikuwa maeneo ya nje ya mji,kijijini.Wapo wanafunzi waseminari ambao siku kama hiyo huitumia kuhakikisha wanapata papuchi kwa njia yoyote ile.Rafiki yangu mmoja chumbani kwetu alikuwa mmoja wapo.Wengine waliitumia kupata kilevi ingawa ulitakiwa usilewe n.k
Huyo jamaa yetu wa papuchi siku moja alirudi ananuka mwili mzima.Nguo alizovaa na kila kitu.Alioga lakini wapi.Mpaka mashuka aliyolalia baada ya kuoga yalinuka.Ilibidi siku hiyo wote tuhame chumba tumwache maana ilikuwa harufu ambayo haivumiliki.
Mpaka Leo nikikumbuka nashindwa kuelewa jamaa alivumilia vipi kugegeda huyo demu.Tukimuuliza anasema alimkuta tu njiani akaanzisha mazungumzo hadi kugegedana.Wakati mwingine usafi kwa mabinti ni kitu muhimu Sana.Hilo la ugonjwa nalo inaweza kuwa sababu.
 
Utamu wowote ule ni uchafu tu!! wewe siyo mmbotaji mzoefu una nusa nusa hovyo hovyo!!! usirudie tena tuachie sisi wazoefu, hapo tunasafisha papuchi km hiyo kwa ulimi tu!! tena tuna meza kila siku wewe unalia lia humu! hayo tuachie sisi mfyuuuxczczcz
 
Back
Top Bottom