Duh uliulamba sana miaka ya 90 savco ndo ilikuwa baba lao, enzi hizo ukipiga hizo pambana unaonekana bonge la mwanaumeMiaka ile ya 1990s kuna wakati nilikwenda Arusha, nikiwa ndani ya "SAVCO jeans, white T-shirt & white rubber shoes". Sina hili wa lile nikapita pale hoteli ya Golden Rose, na ile nafika karibu na uwanja wa Sheikh Amri Abeid, nikakutana na kundi la vijana wa "promotion" wa BONITE BOTTLERS waume na wakike wote tumeulamba sawa sawa na mimi.
Wakiwa ndani ya gari lao la matangazo, wacha waanze kunishaishangilia. Du! Nilijihisi vibaya sana, ikanibidi mdogo mdogo nirudi zangu mdogo mdogo nilikotokea. Kusema ukweli kila mtu anataka upekee wa aina fulani, ikitoea mfanano fulani inakuwa kama date za "uniform"
Ndugu yako huyo.Mimi nilikutana na mtu tunafana sura,urefu ,skin color, hadi jina la mwanzo hadi leo tumekua brothers japo ni koo mbali mbali kabisa
Mimi niliambiwa we muhudumu acha dharau,wateja tumekuja wewe unakunywa bia tu,nguo za dukani nomaAhahahaaaaa nilishawahi kwenda bar moja,sasa shati nililovaa linafanana na la meneja wa bar,sasa wahudumu wapya wakawa wananifata na kunielezea shida zao wakidhani ni meneja, mpaka baadhi ya wateja pia,aaaah ilibidi nisepetuke fasta
Hahahahaaaaa mzee baba hao jamaa walikuwa wanakukubali sana.Wakiwa ndani ya gari lao la matangazo, wacha waanze kunishaishangilia.
Umeona eeeehSie wavaa vijora na madela hivyo vitu kawaida tu
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala za masuala ya Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo changamoto za maisha katika jamii tunamoishi.
Eti ndugu zangu Watanzania;
Ulishawahi kukutana na mtu ghafla (kwenye sherehe, daladala au njiani) aliyevaa nguo zinazofanana na za kwako? How did you react to it?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
BIASHARA: Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-LernbĆ¼cher
Noma sana mzee baba. Ni yale mashati ya vitenge au sio?Shati langu la sherehe za uhuru liko kila pahala nikienda lazima nikutane na mtu kalikung'uta
Mkuu, bila shaka hii ni old school moja matata sana. Ninatamani sana ningekuona face to face siku hiyoMiaka ile ya 1990s kuna wakati nilikwenda Arusha, nikiwa ndani ya "SAVCO jeans, white T-shirt & white rubber shoes".
Bila shaka hii ni Arusha mzee babaSina hili wa lile nikapita pale hoteli ya Golden Rose, na ile nafika karibu na uwanja wa Sheikh Amri Abeid, nikakutana na kundi la vijana wa "promotion" wa BONITE BOTTLERS waume na wakike wote tumeulamba sawa sawa na mimi.
SawaMarahaba.
Pole sana ndugu yangu...Du! Nilijihisi vibaya sana,
Okay...nirudi zangu mdogo mdogo nilikotokea.
Asante sana mdogo wangu Infantry Soldier. Kusema ukweli unapopiga pamba zako unajihisi utofauti fulani lakini mara ghafla inapogeuka kuwa kama sare za shule, unajisikia vibaya.Pole sana ndugu yangu...
Hakika mkuuKusema ukweli kila mtu anataka upekee wa aina fulani,
Umenena vemaikitoea mfanano fulani inakuwa kama date za "uniform"
I never paid attentionShikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala za masuala ya Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo changamoto za maisha katika jamii tunamoishi.
Eti ndugu zangu Watanzania;
As a HUMAN BEHAVIORAL PSYCHOLOGY, Ulishawahi kukutana na mtu ghafla (kwenye sherehe, daladala au njiani) aliyevaa nguo zinazofanana na za kwako? How did you react to it? mlipungia mkono, mlipeana tabasamu, mlimfuata kumsalimia au ulikwepesha macho?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
BIASHARA: Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-LernbĆ¼cher