Ulishawahi kukutana na mtu aliyevaa nguo zinazofanana na zako? How did you react to it?

Miaka ile ya 1990s kuna wakati nilikwenda Arusha, nikiwa ndani ya "SAVCO jeans, white T-shirt & white rubber shoes". Sina hili wa lile nikapita pale hoteli ya Golden Rose, na ile nafika karibu na uwanja wa Sheikh Amri Abeid, nikakutana na kundi la vijana wa "promotion" wa BONITE BOTTLERS waume na wakike wote tumeulamba sawa sawa na mimi.

Wakiwa ndani ya gari lao la matangazo, wacha waanze kunishaishangilia. Du! Nilijihisi vibaya sana, ikanibidi mdogo mdogo nirudi zangu mdogo mdogo nilikotokea. Kusema ukweli kila mtu anataka upekee wa aina fulani, ikitoea mfanano fulani inakuwa kama date za "uniform"
Duh uliulamba sana miaka ya 90 savco ndo ilikuwa baba lao, enzi hizo ukipiga hizo pambana unaonekana bonge la mwanaume
 
Leo msikitini kanzu zetu karibia msikiti wote zilikuwa zinafanana, nika hisi walinunua kariakoo duka nililonunua mimi.
 
Ahahahaaaaa nilishawahi kwenda bar moja,sasa shati nililovaa linafanana na la meneja wa bar,sasa wahudumu wapya wakawa wananifata na kunielezea shida zao wakidhani ni meneja, mpaka baadhi ya wateja pia,aaaah ilibidi nisepetuke fasta
 
Shati langu la sherehe za uhuru liko kila pahala nikienda lazima nikutane na mtu kalikung'uta
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala za masuala ya Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo changamoto za maisha katika jamii tunamoishi.

Eti ndugu zangu Watanzania;

Ulishawahi kukutana na mtu ghafla (kwenye sherehe, daladala au njiani) aliyevaa nguo zinazofanana na za kwako? How did you react to it?

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

BIASHARA: Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-LernbĆ¼cher
 
Miaka ile ya 1990s kuna wakati nilikwenda Arusha, nikiwa ndani ya "SAVCO jeans, white T-shirt & white rubber shoes".
Mkuu, bila shaka hii ni old school moja matata sana. Ninatamani sana ningekuona face to face siku hiyo
 
Sina hili wa lile nikapita pale hoteli ya Golden Rose, na ile nafika karibu na uwanja wa Sheikh Amri Abeid, nikakutana na kundi la vijana wa "promotion" wa BONITE BOTTLERS waume na wakike wote tumeulamba sawa sawa na mimi.
Bila shaka hii ni Arusha mzee baba
 
wakati unainunua huko au unaishona ulidhani ndio ilikuwa ya mwisho ?
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala za masuala ya Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo changamoto za maisha katika jamii tunamoishi.

Eti ndugu zangu Watanzania;

As a HUMAN BEHAVIORAL PSYCHOLOGY, Ulishawahi kukutana na mtu ghafla (kwenye sherehe, daladala au njiani) aliyevaa nguo zinazofanana na za kwako? How did you react to it? mlipungia mkono, mlipeana tabasamu, mlimfuata kumsalimia au ulikwepesha macho?

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

BIASHARA: Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-LernbĆ¼cher
I never paid attention
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom