Ulishawahi kukutana na mtu aliyevaa nguo zinazofanana na zako? How did you react to it?

Ngoja aje kutupa jibu mkuu
Niliibiwa nguo wakati nasoma chuo nilikua nakaa off-campus, kesho yake napita mitaa ya ubungo nikakutana na mtu kavaa jeans na shati kama langu, da ikabidi nimsogelee kwa ukaribu kuangalia vishikizo vya shati kwani kimoja kiling'oka nikashonea uzi wenye rangi tofauti, nikakuta ni lenyewe daah nikabaki nimesimama tu bila kujua pa kuanzia huku jamaa ndo huyo anakatiza Barabara.
 
Mi nilikutana na jamaa tumefananisha barakoa, niliboreka Sana🤔
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo changamoto za maisha katika jamii tunamoishi.

Eti ndugu zangu Watanzania;

As a HUMAN BEHAVIORAL PSYCHOLOGY, Ulishawahi kukutana na mtu ghafla (kwenye sherehe, daladala au njiani) aliyevaa nguo zinazofanana na za kwako? How did you react to it? mlipungia mkono, mlipeana tabasamu, mlimfuata kumsalimia au ulikwepesha macho?

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

BIASHARA: Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-Lernbücher
Endapo tunafahamiana huwa namwambia "naona leo tunaenda kuimba kwaya". Kama simfahamu/hatufahamiani huwa napotezea.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo changamoto za maisha katika jamii tunamoishi.

Eti ndugu zangu Watanzania;

As a HUMAN BEHAVIORAL PSYCHOLOGY, Ulishawahi kukutana na mtu ghafla (kwenye sherehe, daladala au njiani) aliyevaa nguo zinazofanana na za kwako? How did you react to it? mlipungia mkono, mlipeana tabasamu, mlimfuata kumsalimia au ulikwepesha macho?

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

BIASHARA: Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-Lernbücher
Swali poa sana hili
 
People zinapenda upekee xana. binafsi nina experience ya kukutana na watu ambao body xhape and language kwa namna flan zinamatch. pia watu ambao wearing style zao zinamatch na mimi. wote hao tunapokutana wanaonyexhaga kama wamehamaki kiax flan kuona mfanano ikiambatana na xalamu iliyochangamka.
 
unamfata unampa na salam juu inakua poa zaidi
emoji23.png
emoji23.png
Sawa
 
Back
Top Bottom