Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,906
Kuna watu mna bahati sana.Mchepuko ambao sitasahau !siku moja nilichepuka lakini kili nisumbua sana kukipata nikipo mpata katika mishe zile za kuvua ili niaze kuingiza nilishutushwa na kitu kamba uume lakini ulikuwa mfupi kama unaaza kuota juu ya mbunye yake! Kilikuwa ni kitu cha ajabu sana na aliniomba nisimwambie mtu........ukichepuka utakutana na nyingi zenye maumbile ya ajabu
Ugumu unatokea pale ambapo njia kuu haijitumi na kuyafanya yale yanayofanywa na mchepuko, na mbaya zaidi ukiwaambia wanachukia.Ebu acheni michepuko! Kuna ugumu gani kubaki njia kuu? Nini mlete magonjwa majumbani mwenu. Mpaka tukiwaza ndoa tunaziogopa..
Mkumbuke kutoa na risiti basi walau tuchangie mapato ya serikali.Sa ulitaka akuombe nn?! Unachokitaka kwake unapata na anachokitaka kwako anatakiwa apate.
Teh! Bora uliwahi.Nilikuwa na kamchepuko flani amazing yani kanataka kampindue wife kakalie kiti kenyewe!
Nlikatoa nduki
Ninawaandalia Uzi "Uchepukaji Wanitokea Puani!" Stay put.
Ha ha ha nyie hamfui dafu kwangu, nlipata kitoto kidogo kama cha 17yrs hivi kikali balaa nikakitia mara moja bila ndomu asubuhi ananipigia simu ana mimba na hataki kutolea sehemu yoyote zaidi ya aghakhan na ni sh. 1m tena kwa kompyuta
Namkumbuka sana Dada mmoja wakikenya,alikuwa anakazi nzuri tu hapa DSM ,daaa nikawa nabutua,hakukuwa na stress kilakitu yupo vizuri japo namimi nilikuwa namsuprise na vi gift na out lakini alinipenda kwa dhati na alinisapoti sana,kumbe alikuwa na jamaa yake aliye zaa nae yupo America ,jamaa si akanitoroshea mrembo wangu,sasa yupo USA kimaisha na kikazi na amefunga ndoa mwaka juzi na jamaa yake.Sikutaka kuchepuka tena namimi nikamuoa mchumba wangu wa siku nyingi.Najua ni michepuko michache sana walio kama huyu hata kunawakati nakaa namkumbuka nayeye huwahivyohivyo tatizo USA
jenerali una hatari sana wewe,🙄Kwann mnahangaika na vmichepuko dizaini hiyo jamani, mpango mzima uwe na mke wa mtu......wala hautakuwa na wasiwasi wa hiyo mizinga ya laki laki sana sana we unaweza kuwa unamlipua cku moja moja
Mamii na huko nyuma mko wangapi?Unaroho mgumu,
Haaaaa yaani chupi ilikuwa ndogo?Shost mke wa mtu, mume alikwenda masomoni basi aliamua kuregister kiserengeti boy. Shost mambo poa, basi zikawa zile weekend Bagamoyo, Pangani, mara Z,bar. Kwakuwa hakuweza kumleta nyumbani. Kimbembe serengeti life style ilimkolea basi miezi kama mitatu kabla mume hajarudi ikabidi akate stimu.
Kiserengeti kilikuja juu, unasema nini? mume wako anarudi kwani mimi sio mwanaume? Shost pichu ilikuwa ndogo ghafla.
GadeeemuHa ha ha nyie hamfui dafu kwangu, nlipata kitoto kidogo kama cha 17yrs hivi kikali balaa nikakitia mara moja bila ndomu asubuhi ananipigia simu ana mimba na hataki kutolea sehemu yoyote zaidi ya aghakhan na ni sh. 1m tena kwa kompyuta
Ahaaaaah du kumbe kuwa mchepuko raha eti agakhan tena kwa computer...Ha ha ha nyie hamfui dafu kwangu, nlipata kitoto kidogo kama cha 17yrs hivi kikali balaa nikakitia mara moja bila ndomu asubuhi ananipigia simu ana mimba na hataki kutolea sehemu yoyote zaidi ya aghakhan na ni sh. 1m tena kwa kompyuta
Wambie mkuu wa nchi kasema ukiuza kitu toa risit n.a. ukinunua dai risit.Kuna michepuko mingine ukitaka mambo wanadai uwape hela,cha ajabu hawatoi risiti sijui kwa nini
Saivi nimeacha huo mchezo maana hauna faida na hakuna jipya zaid ya ku-risk afya yangu na ya familia yangu.
Michepuko kwangu basi.