Ulishawahi kujutia mchepuko?

Unaroho mgumu,
 
Ha ha ha nyie hamfui dafu kwangu, nlipata kitoto kidogo kama cha 17yrs hivi kikali balaa nikakitia mara moja bila ndomu asubuhi ananipigia simu ana mimba na hataki kutolea sehemu yoyote zaidi ya aghakhan na ni sh. 1m tena kwa kompyuta
Hahaha.... Hii kali
 
Oooo kumbe ulinifanyia hivi?naikumbuka vizuri hii siku ukanifanya niwe na wasiwasi nifunge safari kurudi DSM kuku angalia kumbe ulaghai?(nimechukulia kama Mr wako anaingia humu na kukutana na hii comment yako)
Hahaha hawez kwanza sio mpenz wa social media sana ana whats app tu yeye maskin
 
kwa kupiti huu uzi nimeweka break ya mbuzi...kuna kamchepuko nilikuwa na katest last wiki kakaniambia nitafute mda kakanipe mambo....nimekoma kujaribisha kutongoza...!!!
 
Mweeh! Ulimpagawisha dume la watu
 
Kwann mnahangaika na vmichepuko dizaini hiyo jamani, mpango mzima uwe na mke wa mtu......wala hautakuwa na wasiwasi wa hiyo mizinga ya laki laki sana sana we unaweza kuwa unamlipua cku moja moja
Mh!!!!!!! Ndugu si wote labda wale walioamua kuchepuka kwa ajili ya kukosa sukari ya kutosha. Lakini Hawa wa money first mbona utamjengea nyumba mwanaume mwenzio na kumlelea watoto mpaka wa shangazi yake.
 
Ha ha ha nyie hamfui dafu kwangu, nlipata kitoto kidogo kama cha 17yrs hivi kikali balaa nikakitia mara moja bila ndomu asubuhi ananipigia simu ana mimba na hataki kutolea sehemu yoyote zaidi ya aghakhan na ni sh. 1m tena kwa kompyuta

Hahaha mchepuko wako kweli funiko bovu
 
hahahahaa, hao wa geti kali ni nouma unaweza kuta binam anatafuna usiku au shamba boy kma yupo anajilia vitu usiku.....
hahaaaaa, ngoja nifanye utafiti nijue kuwa kuna shamba boy kwao au kama kuna binamu pia. Aksante kwa kunitonya hili.
 
Shukrani kwa Magufuli... Sikuhzi sisi kabwela tunawasilisha mshahara wote kwa meneja a.k.a Wife mapemaaa maana ukianza michepuko raundi hii kunasiku familia italala njaa
 
kuna michepuko kero jamani, mi mume alikua ananipa simu mchepuko ukipiga maana ilikua too much mume kashachoka ladha yake ye hakuali matokeo
 
Hata mimi nilikutana na hiyo mambo kama michepu mitatu hadi nikapiga picha ninazo
 
Nilikuwa na kamoja bahati mbaya nikatumbuliwa na wife si mnajua tena mambo ya digital age hayasahau kitu usipokuwa makini. Nilipokaelezea nimetumbuliwa na wife wala hakakushtuka eti ajali kazini mambo yaendelee kama kawaida duh ilibidi nitoke mita nikabadilisha na namba ya simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…