Ulishawahi kuandikiwa Dissertation na mtu?

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,361
Reaction score
6,966
Kuandikiwa Dissertation na mtu sio jambo baya au Kinyume na Sheria hapana. Zipo sababu nyingi zinapelekea mtu kuandikiwa dissertation au research kuanzia mwanzo hadi final stage.

Sababu zifuatazo zinapelekea mtu kuandikiwa dissertation 1. Muda ( for inservice people) kufanya kqzi huku na kusoma sometimes inawia vigumu na kupelwkwa mtu kuandikiwa dissertation 2. Uelewa mdogo wa uandishi, hii ni sababu kubwa kuliko zote ni wazi mchakato wa kuandaa proposal ni kipengele na unaitaji uvumilivu na uweledi ktk uandishi.

Kama ulishawahi kuandikiwa dissertation au research don't afraid to share with us your expwrience ya kufanyiwa kazi au kqmanulishawahi kukutana na usumbufu flan au kama ulishawahi kukutana na mtu flan akawa ndo the best yaan
 
Yaan Kuna Mtu nimewai kumsaidia tangu first year bachelor of human resources management mpk dissertation mwanzo mwisho duu hizi kazi nazijua Sanaa
Asante kwa ritered profesa y.bwatwa huyu Mzee alitufundisha vyema RESEARCH METHODOLOGY

APA STYLE

Yaan mm kufanya research kwangu Ni easy Kuna watu huwa nawa andalia assignment, dissertation na Mambo mbali mbali ya academic
 
Sasa hiyo inatofautianaje na kumfanyia mtu mtihani? Na wewe unayeandikiwa utakuwa na nguvu kweli za kusema kuwa una dissertation au thesis? Na kama ingekuwa sio uvunjifu wa sheria, je unaweza enda mbele ya panelists kudefend hiyo dissertation yako then ukawaambia kuwa nimeandikiwa na fulani?
 
Chief kwa levwl ya masters panelist wana fahamu sana ya kuwa kunna watu wana fanyiwa kazi na hawa zui ila wanataka ww uwe ndio master wa iyo kazi yaan unapo present at least you understand evwry part of your work ... Yaan ukiulizwa methodology then u can tackle the question
 
Pamoja na Bachelor yangu tu nashukuru Mungu kuna watu wana magamba ya Masters ambazo ni kazi ya mikono yangu, I hope next year nitatoa graduates wa PhD.
Real ? Hongera sana ... Nita kupm nichote tu share maarifa
 
Sasa hiyo inatofautianaje na kumfanyia mtu mtihani? Na wewe unayeandikiwa utakuwa na nguvu kweli za kusema kuwa una dissertation au thesis? Na kama ingekuwa sio uvunjifu wa sheria, je unaweza enda mbele ya panelists kudefend hiyo dissertation yako then ukawaambia kuwa nimeandikiwa na fulani?
Chuo nilichosoma undergraduate kulikua na oral presentation. Hapo ni wewe tu kuhakikisha unaifahamu in n out research report yako
 
Almost vyuo vyote vina huo utaratibu, kuanzia undergraduate mpaka graduate levels. Hilo halihalalishi kuandikiwa proposal au research report. It's illegal in all its faces
 
Sasa hiyo inatofautianaje na kumfanyia mtu mtihani? Na wewe unayeandikiwa utakuwa na nguvu kweli za kusema kuwa una dissertation au thesis? Na kama ingekuwa sio uvunjifu wa sheria, je unaweza enda mbele ya panelists kudefend hiyo dissertation yako then ukawaambia kuwa nimeandikiwa na fulani?
Kwa uzoefu wangu ukisoma ABSTRACT
umemaliza kazi
yaan Kama abstract itaandikwa vizuri pia ukijua maswali yanayo ulizwa una defend vizuri kabisa
Mfano
Research imegawanyika sehemu tatu ukizimasta umemaliza mchezo
Mm wote nilio wafanyia wali difend bila tatizo
 
Sitakuja kulipa pesa ili nichajiwe kuandika Research. Nitaikosea nitampelekea supervisor atanisahihisha mwisho wa siku nitakua na kazi iliyotokana na uelewa wangu.

Ni ishu ya kujisomea na kuandika. Tatizo liko wapi?
 
Zipo sababu tofauti zinazopelekea mtu kuandikiwa kwa in service people time factor is majorr impediment ! Unaweza kuwa conversant na study yako issue ni time inabana then no option mtu ana opt kumpa mtu amuandikie lkn concwpt inqkuwa ni ya mwenyekazi
 
Kuandikiwa dissertation na mtu sio jambo baya au kinyume na sheria hapana!!
Zipo sababu nyingi zinapelekea mtu kuandikiwa dissertation au research kuanzia mwanzo hadi final stage, Sababu zifuatazo zinapelekea mtu kuandikiwa dissertation 1. Muda ( for inservice people) kufanya kqzi huku na kusoma sometimes inawia vigumu na kupelwkwa mtu kuandikiwa dissertation 2. Uelewa mdogo wa uandishi, hii ni sababu kubwa kuliko zote ni wazi mchakato wa kuandaa proposal ni kipengele na unaitaji uvumilivu na uweledi ktk uandishi. Kama ulishawahi kuandikiwa dissertation au research don't afraid to share with us your expwrience ya kufanyiwa kazi au kqmanulishawahi kukutana na usumbufu flan au kama ulishawahi kukutana na mtu flan akawa ndo the best yaan
Hakuna sababu yeyote inayo halalisha kuandikiwa dissertation na mtu. Kwangu mimi huu ni upumbavu uliotukuka. Nikiwa supervisor wako au kwenye examination panel yako ujue nitakushika tu. Tukiacha hayo ya kushikana, kuandikiwa au kufanyiwa utafiti na mtu mwingine inaonyesha hujui kile unafanya zaidi ya kutafuta yale makaratasi na hapo kuna tatizo kwenye supervision-supervisor mzuri atajua kinacho endelea.

Wenzetu wana masters ambazo dissertation sio lazima unaweza instead ukafanya courses za ziada kutimiza graduation requirements au internship na kuandika report. Hizi zinawafaa zaidi wale ambao hawana ulazima wa kufanya utafiti kutokana na malengo yao. Bahati mbaya hapa Tz masters zetu karibu zote tunatanguliza dissertation.
Take home: Sifagilii kufanyiwa au kuandikiwa research-hii ni sawa na wizi/udanganyifu wa hali ya juu.
 
Wizi ni kuiba kazi ya mtu ndio maana kuzuia ilo kuna fanyika plagiarism check na ktk report yako unaweka declaration all in all it depwnds on individual perspective
 
Huu ni wizi wa kiaina. Ukiandikiwa kazi ile siyo yako hata kama ina jina lako. Ukiajiriwa au kupewa kazi ambayo wanabase kwenye qualifivation zako ni sawa na kuwauzia mbuzi kwenye gunia na huo ni wizi. Hivyo wizi sio plagiarism tu-mimi nimetuma hilo neno kwa upana wake.
Actually kama itakuja kujulikana ina maana cheti chako ni fake kwani hakireflect kazi ulio ifanya.
 
Huu ni wizi wa kiaina. Ukiandikiwa kazi ile siyo yako hata kama ina jina lako. Ukiajiriwa au kupewa kazi ambayo wanabase kwenye qualifivation zako ni sawa na kuwauzia mbuzi kwenye gunia na huo ni wizi. Hivyo wizi sio plagiarism tu-mimi nimetuma hilo neno kwa upana wake.
Actually kama itakuja kujulikana ina maana cheti chako ni fake kwani hakireflect kilicho kazi ulio ifanya.
Mkuu inaonekana hujaelewa. Put it in this way : concept ni yako, ww mwenyewe ndio una set objecrives za kazi yako, statemwnt of problem is yours lkn sababu zilizo nje ya uwezo wako una decides kutafuta consultancy / assistance akuandikie mawazo yako. Huo sio WIZI hakuna types of wizi, na tafasili ya wizi ni kuchukia kitu kisicho kuwa chako. Hapo kuandikiwa automatically sio wizi. Ila kama uki copy and paste kazi ya mtu kama ilivyo without acknowledge hapo ni WIZI
 
Mkuu naelewa unachosema. Kwangu mimi huo ni wizi na hakuna chuo chochote duniani ambacho kina aminika kinaweza kukubali ujinga huo. Element moja inayofanya graduate research kuwa research ni wewe ku-struggle na hiyo kazi mpaka uproduce thesis. Ukifanyiwa thesis au hata proposal na mtu mwingine basi hiyo kazi huwezi ku claim ni yako. Kama umegister as a post graduate student hakuna sababu itakayokuwa nje ya uwezo wako itakayo halalisha mtu mwingine akufanyie hiyo kazi. Kama huwezi kuifanya kwa sababu moja au nyingine una ahirisha masomo au unajitoa. Soma regualtions za chuo chochote unachokiamini utakuta vipengele hivyo.
 
Mimi nashindwa kumwelewa mtoa mada amekusudia nini zaidi ya kujiabisha tu hapa na kuexpose ubovu wa elimu hapa kwetu. Ndio maana baadhi ya masters au bachelor za vyuo fulani fulani zinadharauliwa hata kwenye soko la ajira kwa sababu ya mambo kama haya. Kama haupo tayari kusoma acha kwanza fanya kazi. Ukiwa tayari nenda.
 
Kuna wanafunzi wa PhD wanakuandikia mradi pesa yao uwalipe. Unalipa yote kabla ya kazi kuanza au nusu na nusu ilivyo ski wakati wa makabidhiano.

Wanacharge per page. Page moja laki moja.
Duuuuuuh hatari saanaah khaaaah.
 
Back
Top Bottom