Ulipokutana na hali kama hii ulifanyaje?

Ulipokutana na hali kama hii ulifanyaje?

Inaonekana paper za necta zinatabia ya umama sana. Me pia necta f4 wayback kwenye practical ya phys baada ya muda kuisha na maswali sijayamaliza na nilikuwa nayafahamu basi nilijipigia bao langu takatifu kabisa.

Na mwl alivyokuwa kauzu hakuongeza hata robo dakika. Basi nikajisemea angalau nimeambulia hicho kitu adimu maana nilikuwa shule ya uboyzn tupu.
 
Mmh kweli mkuu??
 
Hakuna Siri hapo, wanaume tunaelewa hiyo hali mwisho lazima ushushe kitu[emoji23]

Alafu hata ukiwa mbele za watu bado kinakuwa kitamu..
Kuna kisa flani marekani jamaa alifariki kwenye ajali
Kuna dem akawa mjamzito,ss issue dogo anapimwa DNA ikasoma ya marehemu
Kubanwa ikagundulika bi dada alijilipua na dead body muda mfupi baada ya ajali
So itakua kuna mazingira jamaa aliachia kitu,dem akakuta kiluilui kinasubiri kusitiriwa
 
Inaonekana paper za necta zinatabia ya umama sana. Me pia necta f4 wayback kwenye practical ya phys baada ya muda kuisha na maswali sijayamaliza na nilikuwa nayafahamu basi nilijipigia bao langu takatifu kabisa.

Na mwl alivyokuwa kauzu hakuongeza hata robo dakika. Basi nikajisemea angalau nimeambulia hicho kitu adimu maana nilikuwa shule ya uboyzn tupu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Hii ishu wanasaikolojia na wanabiolojia , inabidi wafanye tafiti , ili kujua kwa nini mtu ukipaniki kwenye pepa , lazima dudu ifunge gori.
 
Daaah nlikua siamini aisee Kuna jamaa yangu alinambia aisee chalii nmemwaga kwenye paper Adv.Math.
Nkamwambia chalii yangu paper ilivyokua ngumu bado unawaza mapenzi. Akasema Wala ata nlikua siwazi Ila mwalimu aliposema muda umeisha nkapanic
 
Kuna siku nilikuwa nafanya mtihani wa kumaliza muhula , enzi za kidato cha tano ,niko kwenye pepa nafanya mtihani kuna maswali nikayasoma lakini nilishindwa kujibu kutoka na kusahau majibu kitu ambacho kilinipelekea kupaniki mpaka dudu kusimama kwa mda mrefu, baada ya pepa nilikimbilia polini uko ili watu wasinione,

Tukio la pili, Nikiwa natembea kutokea mnazi mmoja kuelekea baridi ghafla nikakuta dudu imesimama na kuanza kusukuma suruali, nikawaza hapa leo nipo kuaibika mbele za watu, akili ikanijia na nikaichukua dudu na kuibana kwenye mkanda Kisha kuendelea na safari,

Je wewe ulipokutana na hali kama hii ulitumia Mbinu gani kusolve tatizo fasta ili usizalilike mbele za watu ? mana hii hali ni kawaida sana kutukuta sisi vidume .

Ona kilichomkuta Jamaa hapo chini baada ya kukosa penati.

View attachment 1662885
Mimi pia hunitokea sana ila huwa nachuchumaa nafunga kamba za viatu alafu navuta kumbukumbu ya kifo Cha mzee wangu alafu nasimama ndani ya dakika mbili tatu naendelea na safari

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Duh mi nilidhani ikitokea umepaniki ama hofu ndiyo dudu linasinyaa kabisaa sasa inakuwaje isimame tena?? Kweli huku ni vidume vya mbegu [emoji3]
Hayo ulosema ndo normal situation Hawa wa kweny chumba cha mtiani na uoga ule ni wachache mnooo wanakutana ilo
 
Daaah nlikua siamini aisee Kuna jamaa yangu alinambia aisee chalii nmemwaga kwenye paper Adv.Math.
Nkamwambia chalii yangu paper ilivyokua ngumu bado unawaza mapenzi. Akasema Wala ata nlikua siwazi Ila mwalimu aliposema muda umeisha nkapanic
Aliipiga gori Ad math
 
Paper ya Biolgoy Form two na Chemistry Form Six....maswali unayajua ila muda unaona kama hautoshi tena ni pale baada ya kutajiwa zimebaki dakika chache.....Alhamdullilah nilitusuaga "A" zoote hizo hehehehe noma.[emoji38][emoji38]
 
Pepa la chemistry A level lilinipigisha bao baada ya kushindwa kujibu maswali niliyoyafahamu, hafu, hawa waliosoma art wajinga kweli Yani ,
Ivi Kuna mtu amewahi piga gori kwa sababu ya histori.
 
Kwa hiyo wasi wasi unasababisha dudu iamke , lakini ukiwa na manzi kwenye sita kwa sita , ukiwa na hofu dudu haisimami , kwa Nini?
Sema me naweza kubisha ni kwann hatujawah sikia mtu kafumaniwa dudu ikasimama.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom