Ulipokutana na hali kama hii ulifanyaje?

Ulipokutana na hali kama hii ulifanyaje?

Eng. Zezudu

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
8,367
Reaction score
12,363
Kuna siku nilikuwa nafanya mtihani wa kumaliza muhula , enzi za kidato cha tano ,niko kwenye pepa nafanya mtihani kuna maswali nikayasoma lakini nilishindwa kujibu kutoka na kusahau majibu kitu ambacho kilinipelekea kupaniki mpaka dudu kusimama kwa mda mrefu, baada ya pepa nilikimbilia polini uko ili watu wasinione,

Tukio la pili, Nikiwa natembea kutokea mnazi mmoja kuelekea baridi ghafla nikakuta dudu imesimama na kuanza kusukuma suruali, nikawaza hapa leo nipo kuaibika mbele za watu, akili ikanijia na nikaichukua dudu na kuibana kwenye mkanda Kisha kuendelea na safari,

Je, wewe ulipokutana na hali kama hii ulitumia Mbinu gani kusolve tatizo fasta ili usizalilike mbele za watu ? mana hii hali ni kawaida sana kutukuta sisi vidume .

Ona kilichomkuta Jamaa hapo chini baada ya kukosa penati.
 
Sisi wengine tulikuwa tunapiga bao kabisa, mpaka leo hii najiuliza ule wasiwas, watalaamu huwa wanauitaje sijui ?
 
Hv ni kwanini?? Hata me nilijipiga pepa ya adv. maths ilikua necta form6 [emoji28][emoji28][emoji1316][emoji1316]
[emoji849] mi nakumbuka nilipiga bao kwenye pepa la "GS" form five, nadhani hali hiyo inasababishwa na paniki.
 
Sisi wengine tulikuwa tunapiga bao kabisa, mpaka leo hii najiuliza ule wasiwas, watalaamu huwa wanauitaje sijui ?
Kwa hiyo wasi wasi unasababisha dudu iamke , lakini ukiwa na manzi kwenye sita kwa sita , ukiwa na hofu dudu haisimami , kwa Nini?
 
Back
Top Bottom