road master
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 2,064
- 3,011
Kiongozi shupavu!?????Ilikuwa kazini zamu ya usiku ilifanya nione Mh. Rais Samia Suluhu akitangaza live kwa masikitiko tumepoteza kiongozi shupavu.
Kiongozi shupavu!?????Ilikuwa kazini zamu ya usiku ilifanya nione Mh. Rais Samia Suluhu akitangaza live kwa masikitiko tumepoteza kiongozi shupavu.
Shauri yako
Mpaka leo siamini mwamba amekufa. Nilikuwa nimelala saa 6 usiku rafiki yangu akanitumia sms.
Next day mbuzi wangu nilipeleka ahera madukaniMe nilikuwa v lounge, moshi town, nakula vyombo na mchuchu, sina hili wala lile, mara simu inaita, na mziki, nikasema bro ni nn usiku usiku na misimu.
...
Na leo ww ip mob umetangulia pumzika kwa amani mkuuNilikuwa Longido kikazi. Nataka nilale nikatumiwa sms kwamba mzee amefariki. Sikuamini basi nikabidi nimpgie jamaa yangu nimuulize, nikajibiwa ndio nisubiri Habari tbc...
Mimi nilikuwa zangu Rwanda king kazi, by SAA tano usiku kwa SAA za kule Mara mfanyakazi mwenzangu anapiga simu room kwangu namuuliza vipi eti alikuwa analia namuliza Bob vipi ooh JIWE LIMEPASUKA. Nikakata simu nikalala zangu.Ahahaahhaa..Nilikuwa Chanika. Nililala Chanika siku Ile. Asubuhi nikamfuata jirani yangu nikamuuliza," (excuse me)Hii I Tel yangu inasema nini sijui! Ati una habari gani kuhusu Magufuli. Ni kweli kwamba amekufa?"
Akaniambia hizo habari zimetangazwa jana saà tano usiku.
NimechekaHiyo siku nilikuwa nimepiga k-vant kubwa nikasema nipumzike nje kidogo ili nisiwasumbue wa ndani, bahati mbaya usingizi ukanipitia.
Nakuja kushituka nakuta wapangaji wapo nje wanalia. Nikajua labda nilizima, walivyoona siamki wakajua nimevuta.
Nikaamua kuamka ili kuonesha mi ni mzima, nikaona hata hawana mpango na mimi. Ndio kuna jamaa akatamka kabisa kuwa Magufuli kafariki.
Rip mdau daah nawewe umemfata magu😭😭Nilikuwa Longido kikazi. Nataka nilale nikatumiwa sms kwamba mzee amefariki. Sikuamini basi nikabidi nimpgie jamaa yangu nimuulize, nikajibiwa ndio nisubiri Habari tbc.
Baada ya hapo nilienda kulala mida ya saa 4 kasoro usiku, ila niliweweseka kwa mawazo (sikutaka kuamini kabisa) mpaka saa 6 ndio nikapata usingizi.
Asubuhi naenda field karibia kila mtu hakuwa na furaha hata wale wakosoaji.
Wote watoa machozi huwa wanalia, tofauti ni aina ya kilio. Wengine furaha ikizidi hulia.Ile siku sitaisahau, nakumbuka since tarehe 06/03,ulizuka uzushi mkubwa uko jamuhuri ya Tweeter kuhusu afya ya Magufuli...
na period juuNilikuwa Mkoa fulani nafanya task fulani ya wizara fulani, ule usiku nilikuwa hotelini nimelala ndipo nilopopokea simu kutoka kwa mtu wangu wa karibu. Vile nilikuwa nimetoka usingizini siikuelewa na yeye alikuwa ameshakata simu na kila Nikimpigia tena simpati ghafla nikasikia kilio Kikubwa cha mwanamke kwenye ile hotel ndipo nilipotoka kuuliza kwani kuna nini!? Hapo ndio nilipata taarifa rasmi kwa upana na kwa mstuko ule wa taarifa nilijikuta hadi nimepata na Period..