data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,151
- 22,726
Siwezi kumkumbuka huyo Roho mbaaya...hata nifeee...View attachment 1906800
Japo wapo watakaochukia picha na wazo hili, pia wapo watakaofurahia kumbukizi hili. Jamaa alilaumiwa kwa mengi pamoja na kufanya mengi. Sasa hayupo na mengi yanasemwa kuhusiana na waliomrithi. Je wewe kama mtanzania usawa huu wa tozo na kesi za ugaidi usio kichwa wala miguu, unammiss huyu mwamba au la? Nashauri mchangie kwa staha na si matusi wanangu. Hebu tujikumbushe enzi zile na hizi tuweze kutafuta majibu ya maswali ambayo hadi sasa hayajapatiwa majibu. Kila la heri wanangu.