Uliolewa/ulioa ukiwa na miaka mingapi?

Ukishajua nilioa kwa umri gani itakusaidia nini. Huna kazi ya kufanya?
 
Kuna vitu vinatokea ktk maisha kama surprise nilipanga kuolewa katika umri wa miaka 24 nikaolewa na 17 na umri wa 24 tayari nilishajaaliwa watoto watatu, maisha yetu ni fumbo na mfumbuaji ni Mungu nami nasema Mungu asante
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…