Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Haya timiza wajibu wako kama mchepuko wa kweli...Mchepuko wangu mie, nimeamka salama!!!!
Sijakususa bhanaa usimwachie Mungu jamanii!!!!
Haya timiza wajibu wako kama mchepuko wa kweli...Mchepuko wangu mie, nimeamka salama!!!!
Sijakususa bhanaa usimwachie Mungu jamanii!!!!
[emoji3][emoji3][emoji3]mimi wa kwanza ilikuaje🙂🙂🙂🙂🙂 najua wengi watauliza
[emoji15] [emoji12] miaka yote ulikuwa unasoma tu gazeti??unamuuliza ushamaliza?wewe sii kiboko ni zaidi ya kibokoIlinichukua miaka km mitano kuanza kumfeel kihisia
kama sijakuelewa miaka 10Mwanaume at least uwe umemzidi mzee mengi japo miaka mitatu ndio uoe, mwanamke angalau awe na umri kuanzia miaka 10 mpaka 25 zaidi ya hapo ujue unaoa bibi kizee
Sawa kamchepuko kanguHaya timiza wajibu wako kama mchepuko wa kweli...
Uzuri mume hakutaka nizae haraka alitaka nimalize walau diploma ndo nizae, so miaka mitatu kwny ndoa ndo nikapata mtoto, wakati huo nilikuwa 21, kutokana na utoto sikuwa naelewa kuhusu kupanga uzazi ikapelekea kuzaa kwa haraka 24 watoto 3,Ewaaa... raha jipe mwenyewe bhana. Maisha mafupi haya... unajisikiaje kuwa na watoto ambao baadhi ya watu hudhani ni wadogo zako??
Asante mkuu,pole mkuu
Sijui ngoja nimuulize km aliikuta au la😳 😳 😳 😳 inakuwaje hujui
Uzuri mume hakutaka nizae haraka alitaka nimalize walau diploma ndo nizae, so miaka mitatu kwny ndoa ndo nikapata mtoto, wakati huo nilikuwa 21, kutokana na utoto sikuwa naelewa kuhusu kupanga uzazi ikapelekea kuzaa kwa haraka 24 watoto 3,
Uzuri ni kwamba wanawake tunajifunza kufall in love, ningekuwa muwazi tangu mwanzo kwa mtu alekomaa Naamini angenisaidia saiv Niko good namshukuru MunguDuu pole si nikubakana huko ndoa shurutishi bana hazimwachi mtu salama full michepuko kwa kutokuwa na chaguopendwa/mapenzi ya dhati
Hahahahahahaa hiyo kali..ina maana kabla ya kuolewa ulikuwa huchepuki? 😕 😕Sijui ngoja nimuulize km aliikuta au la
Kwa hiyo kuna mahali unapenda siyo[emoji2] unadekea huku unakoj..leshwa kuleeFaida niliyoipata ni kudeka na kubembelezwa km malikia lkn upendo haupo kivile,
Mkuu wameongelea kuoa au kuolewa sio kujijengaMimi nilioa nikiwa na umri wa miaka 28..najutia kuchelewa kuoa wakati nilijijenga mapema
Kuna comment nimejibu Hii kitu huko mwanzoni, sie ni wastahimilivu sana ktk swala la maumivu ya kihisia[emoji15] [emoji12] miaka yote ulikuwa unasoma tu gazeti??unamuuliza ushamaliza?wewe sii kiboko ni zaidi ya kiboko
Baadae kwanza nifurahie kaujana kalikobaki, hata 30 sijanukia mkuu,[emoji126] [emoji126] [emoji126]Hivi sasa umetulia na wanao kwa raha zako. Huna mpango wa kuongeza mwingine?
Kwakweli pole na hongera zakoKuna comment nimejibu Hii kitu huko mwanzoni, sie ni wastahimilivu sana ktk swala la maumivu ya kihisia
Sasa nikiongozana nao watu hawaamini km ni wangu kweli coz bado nipo sokoni, ndo faida ya kuzaa kwny umri mdogo na haraka then unapumzika, inaufanya mwili usilegee na kuzeeka maana uzazi unachosha na hasa ukiwa na umri mkubwa heheheheeeeeHivi sasa umetulia na wanao kwa raha zako. Huna mpango wa kuongeza mwingine?