samua
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 1,029
- 709
Nilitamani niingie kwenye ndoa miaka 30.......lkn aaahhh wapi haikufikaWakuu,
Kwa ambao mpo au mliwahi kuingia katika ndoa mtoe uzoefu wenu,
Ulioa (kwa wanaume) au uliolewa (kwa wanawake) ukiwa na umri gani?
Na unadhani uliwahi au ulichelewa kwa umri huo?
Hii itatoa mwanga kwa wanaotarajia kungia kwenye ndoa kutambua kuwa wame-delay sana au vinginevyo kutokana na umri wao wa sasa.
Mimi miaka 28 ndio umri wangu wa kujilipua kuoa.
Karibuni.