Ulioa/uliolewa katika umri gani?

Ulioa/uliolewa katika umri gani?

Hisia hazipo+ woga+ kisaikolojia sikufurahia kuolewa, nadhani umeona ni ngumu kuenjoy zaidi ya kuunufaisha upande mwingine, Hlf kawaida ke anazoea dushe kwny umri wa 24 na kuendelea ndo hasa hapo unasikia ladha ya dushe
Aisee kuumbeee..sasa kabla ya miaka 24 hamuna hisia?..I think ke wengi mko hivyo but pia wapo wachache wenye ujasiri na kuzoea ndoa fasta
 
Mda sahihi wa kuoa ni
Minimum= ½×umri wako ➖ 7.

Maximum= ½umri wako ➕ 7
 
Mh! Sasa nimekuelewa kwanini unataka kutoka huko maana nilikuwa sikuelewi kabisaaaa huyu mtu poa sana yuko kwenye ndoa pia anaonekana ni muelewa inakuwaje tena anataka kuikimbia ndoa?

Ulijichimbia wapi mamito??
Niliolewa na 18 kasoro wakati huo mume alikuwa 32, niliolewa zile ndoa km za kizamani analetwa mume na mashangazi na mume nilimjua siku naenda kuolewa, kisa tu cha aunt kunifanyia ivo ni story ndefu best
 
Sasa nikiongozana nao watu hawaamini km ni wangu kweli coz bado nipo sokoni, ndo faida ya kuzaa kwny umri mdogo na haraka then unapumzika, inaufanya mwili usilegee na kuzeeka maana uzazi unachosha na hasa ukiwa na umri mkubwa heheheheeeee
Kweli bhana... mi nlikuwa napata sana shida kumtambulisha binti yangu... watu walikuwa wanasema ni mdogo wangu wengine wakisema ni mtoto wa kaka yangu... Binti huyu wa kujifunzia nilimpata nikiwa na miaka 19 nikiwa kidato cha tano na mamaake akiwa form three... Imagine!!
 
Mh! Sasa nimekuelewa kwanini unataka kutoka huko maana nilikuwa sikuelewi kabisaaaa huyu mtu poa sana yuko kwenye ndoa pia anaonekana ni muelewa inakuwaje tena anataka kuikimbia ndoa?
Kumbe muathirika wa ndoa za kihenga hahahahahaa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kweli bhana... mi nlikuwa napata sana shida kumtambulisha binti yangu... watu walikuwa wanasema ni mdogo wangu wengine wakisema ni mtoto wa kaka yangu... Binti huyu wa kujifunzia nilimpata nikiwa na miaka 19 nikiwa kidato cha tano na mamaake akiwa form three... Imagine!!
Umetisha mkuu Halafu ukapata ke na tunavyokua fasta hapo usishangae anaeleta mahari yaani mkweo unalingana nae au unamzidi kidogo dah mambo haya acheni tu
 
Naam ndiyo sababu hiyo ya kuletewa mume unayemuona siku ya harusi. Pole sana.
Nshapoa BAK, kuzaliwa kwny familia zinazokumbatia mila ni janga sometimes, aolewe mbn mimi niliolewa nikiwa na 16, mwingine 15 sasa jamani hamuoni kwamba natakiwa niende shule kwanza, utasomea kwa mume ndo lililokuwa jibu japo alinipeleka shule lkn ukweli sikumpenda, lkn ndo riziki yangu sasaiv nafuu kuliko mwanzo
 
kwa hiyo unawashauri watumikeeeee huko ndio waje kuolewa..duuh kwa maana hiyo kauli ya "Kula life kwanza" ni pana mno..kuna mengi yanatokea


kwan wewe hujatumika had uje useme watumike wenyew tu !
 
Yaani wakati Nina 24 nshashusha Toto zangu tatu, saiv kwa raha zangu yaani wananitamanije
Ukiwa around 30's au ukijaaliwa kufika 40 tafuta kengine na mwisho....raha ya kufuatilia mtoto tangu anapotambaa, kujifunza kusimama na kuongea, kukimbia etc... huwa haina mwisho, after that utaenjoy wajukuu
 
master unasoma ukiwa mama wa familiar haizuiwi ukianza uzazi una miaka 33 mtoto afike miaka 20 wewe una 53 bado 7 ustaafu chuo atasoma kwa shida sana huyo mimi nimezingatia umri unaokuwa na nguvu hata kwa kubeba magunia mgongoni watasoma tu wa kuolewa ukiwa chuo au wahi kuoa ukiwa chuo

I SECOND YOU WEWE UMEONGEA UKWELI MTUPUUU
 
Back
Top Bottom