Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,097
- 127,830
Na mimi[emoji13][emoji106]
Na mimi[emoji13][emoji106]
Wewe kuna kitu unakitaka, haya ilikuwa hivi mume kaja hom Leo baada ya siku tatu unaolewa, kumtizama usoni tu yani ule ujasiri wa kukutanisha nae macho ni km miaka miwili ndo nikiweza kumuona tu nikaanza kutetemekaHahahahahahaa hiyo kali..ina maana kabla ya kuolewa ulikuwa huchepuki? 😕 😕
Nakojoleshwa mbona, Hlf punguza uchokoziKwa hiyo kuna mahali unapenda siyo[emoji2] unadekea huku unakoj..leshwa kulee
Hizi ndo ndoa za kihenga hongereni sana mkuuNimeoa nina miaka 19 na mke wangu ana 16 kipindi hicho,sote kwa sasa ni wasomi.
Mpenda story wewe, haayaNa mimi[emoji13]
[emoji23] [emoji23] ndoa za kihenga tabu kweli mimi wazazi wangu walioana wakiwa na miaka 20Hizi ndo ndoa za kihenga hongereni sana mkuu
Yap km wa kwangu, mdingi 21 maza 17[emoji23] [emoji23] ndoa za kihenga tabu kweli mimi wazazi wangu walioana wakiwa na miaka 20
Hongera ila nipe hiyo story full Pm ilikuwaje ukaolewa mapema na usiye mjua sitamwambia mtu akya naniSasa nikiongozana nao watu hawaamini km ni wangu kweli coz bado nipo sokoni, ndo faida ya kuzaa kwny umri mdogo na haraka then unapumzika, inaufanya mwili usilegee na kuzeeka maana uzazi unachosha na hasa ukiwa na umri mkubwa heheheheeeee
Ntaileta hapa jukwaani kwani sikuua wala kuvunja sheria sio siri wala aibu kuna itakaowafunza kwa namna moja au nyingine, asante mkuuHongera ila nipe hiyo story full Pm ilikuwaje ukaolewa mapema na usiye mjua sitamwambia mtu akya nani
Sasa nimekuelewa..Mumeo ulimpatia haki yake muhimu maana wengi waliolewa wakiwa screpa..umenichosha vile ulivyosema kuwa ulihisi penzi lake baada ya 5yrs 😀 😀 😀 😀 😀Wewe kuna kitu unakitaka, haya ilikuwa hivi mume kaja hom Leo baada ya siku tatu unaolewa, kumtizama usoni tu yani ule ujasiri wa kukutanisha nae macho ni km miaka miwili ndo nikiweza kumuona tu nikaanza kutetemeka
Niliolewa na utepe wangu orijino hope nimekujibu
Unampotezanimeolewa na 25yrs mume akiwa na 27! kwakweli niliwahi sana kuolewa !niliwah mnoooooooooo !napendekeza jaman wasichana mkitoka vyuoni fanyen kazi walau 4yrs yaan hakikisha starehe umezifanya kweli kweli !atleas uolewe na 28/29 unakuwa atleast umemachua kias ! na mume atleast awe na 32 ! nina mdg angu ana 30 namwambiaga ukwel dogo kula life kwanza huku anza kufikiria ukiwa na 33 !
kwa hiyo unawashauri watumikeeeee huko ndio waje kuolewa..duuh kwa maana hiyo kauli ya "Kula life kwanza" ni pana mno..kuna mengi yanatokeanimeolewa na 25yrs mume akiwa na 27! kwakweli niliwahi sana kuolewa !niliwah mnoooooooooo !napendekeza jaman wasichana mkitoka vyuoni fanyen kazi walau 4yrs yaan hakikisha starehe umezifanya kweli kweli !atleas uolewe na 28/29 unakuwa atleast umemachua kias ! na mume atleast awe na 32 ! nina mdg angu ana 30 namwambiaga ukwel dogo kula life kwanza huku anza kufikiria ukiwa na 33 !
True five years, kuna raha kwa mwanaume kuoa binti mdogo kiumri, kwanza ni hiyo joto la ubikira, kuna uwezekano wa kumfaidi peke yake, lkn kwa muolewaji ni tofauti muda mwingi anakuwa na hofu na wogaSasa nimekuelewa..Mumeo ulimpatia haki yake muhimu maana wengi waliolewa wakiwa screpa..umenichosha vile ulivyosema kuwa ulihisi penzi lake baada ya 5yrs 😀 😀 😀 😀 😀
Duuh hili nalo ni jipya kwangu 😀 😀 😀 😀 sasa kapeace utasema ulikuwa hufaidi mnapokuwa kwenye ligi 😛 😛True five years, kuna raha kwa mwanaume kuoa binti mdogo kiumri, kwanza ni hiyo joto la ubikira, kuna uwezekano wa kumfaidi peke yake, lkn kwa muolewaji ni tofauti muda mwingi anakuwa na hofu na woga
Hisia hazipo+ woga+ kisaikolojia sikufurahia kuolewa, nadhani umeona ni ngumu kuenjoy zaidi ya kuunufaisha upande mwingine, Hlf kawaida ke anazoea dushe kwny umri wa 24 na kuendelea ndo hasa hapo unasikia ladha ya dusheDuuh hili nalo ni jipya kwangu 😀 😀 😀 😀 sasa kapeace utasema ulikuwa hufaidi mnapokuwa kwenye ligi 😛 😛