Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 26,227
- 71,892
Nililia sana mwanzoni na kulaani ndoa ile na hata siku moja mume hakuwahi kugundua ni mateso yangu peke yangu niliteseka sana sana na mpaka Leo hakuna anaejua km niliteseka sana mpk pale nilivyoamua kupokea uhalisia, ila ndoa za utotoni ni janga na linatesa saikolojia ya mwanamke maisha yake yoteHadi machozi yananilengalenga pole!! Kapeace