Asante mkuuDuuuh pole sana!!! Haya ndio malimwengu ya walimwengu!!!
Yaani ww unahisi tupo ulaya eti?? Mi ndo nilikuwa nimemaliza form four tu, certificate, diploma na degree nilivipata nikiwa nimeolewa na uzazi ukweli kuna vitu aunt zangu waliniumiza lkn nimewasamehe kwani hawakujua walilotenda
Ni pumba tupu walau 30-----hongera sana mamy!hv kapeace jiran zako men wa miaka 27 anafaa kuoa kweli? bas mie huku wa miaka hyo HAWAFAI HATA KUPIGA NAO STRY WANAWAZA VIDUKU TU PYEE
ha!ha!ha!ha! we dada ni kiboko binadamuIlinichukua miaka km mitano kuanza kumfeel kihisia
master unasoma ukiwa mama wa familiar haizuiwi ukianza uzazi una miaka 33 mtoto afike miaka 20 wewe una 53 bado 7 ustaafu chuo atasoma kwa shida sana huyo mimi nimezingatia umri unaokuwa na nguvu hata kwa kubeba magunia mgongoni watasoma tu wa kuolewa ukiwa chuo au wahi kuoa ukiwa chuo
Ni pumba tupu walau 30-----
Wanawake tunauwezo mkubwa wa kuvumilia maumivu ya kihisia na Hii nimeiishi kwahiyo najua nachokisema,ha!ha!ha!ha! we dada ni kiboko binadamu
Hadi machozi yananilengalenga pole!! KapeaceImejaa maumivu ya kihisia coz mume sikumpenda ukumbuke hilo, lkn nilitulia kwa hofu ya walezi waloniozesha ilinichukua muda kuupokea uhalisia,
Wanawake tunauwezo mkubwa wa kuvumilia maumivu ya kihisia na Hii nimeiishi kwahiyo najua nachokisema,
Mh! HayaWanawake tunauwezo mkubwa wa kuvumilia maumivu ya kihisia na Hii nimeiishi kwahiyo najua nachokisema,
Mtu anakwambia ana 25-28 story zake dah ni za ajabu ajabu kha!!!! Hamna la maana hata moja muda wote anawaza kuvaa suruali za kubana miguu na michano, ovyo ovyo tusasa je! yaan kadri miaka inavyozid kuwa wavulana wanakuwa wana akili za kitoto zaid !bora 30
Mtu akisema kuoa kujipanga hapa nini anamaanisha....? kwa walioa jamani
Mtu anakwambia ana 25-28 story zake dah ni za ajabu ajabu kha!!!! Hamna la maana hata moja muda wote anawaza kuvaa suruali za kubana miguu na michano, ovyo ovyo tu
Nilioa nikiwa na 26 leo nina 53 nimepata mkwe ninatarajia wajukuu nikiwa bado nina nguvu ya kucheza nao
Ila hivi sasa si unainjoi na familia yako?Yaani ww unahisi tupo ulaya eti?? Mi ndo nilikuwa nimemaliza form four tu, certificate, diploma na degree nilivipata nikiwa nimeolewa na uzazi ukweli kuna vitu aunt zangu waliniumiza lkn nimewasamehe kwani hawakujua walilotenda