Hufurahii hata watoto wako?Faida niliyoipata ni kudeka na kubembelezwa km malikia lkn upendo haupo kivile,
Unatengeneza myororo utakao kuwa mtoto wa kunilea sivyo oa mapema olewa mapema usimtegemee mtoto uzeeni kwako jijenge mapema na wavushe watoto mapema ukiwa na nguvuUmri wa kuona/Kuolewa unategemea na majukumu yako yametatulika au laaah.
Kama ni mzao wa kwanza na nyumbani we Ndo kiungo muwezeshaji ni bora uwekeze kwa kaka na Dada zako kukupunguzia mzigo wa baadae.
Kama kusomesha na kuhakikisha mahitaji muhimu yote ya kila siku.
Ila kama familia inajitosheleza kuanzia 22 ni vyede sana.
Kuna wengine wanazungumzia utoto mwingi, naamini mtu Kuwa na akili za kitoto ni pamoja na marafiki aliokuwa nao. Kuna watu tunaona hata humu JF wana 24 na wana mawazo ya wastaafu. Mtu tuko form 6 ila ashapambana kuliko yule aliyoko kazini mwaka wa nane....
Asanteni....
Nafurahia sana mkuu na ndo walonifanya nijipe tiba mimi mwenyewe kwa kuipokea ndoa hiiHufurahii hata watoto wako?
Siku hizi hakunaga starehe ni majanga tuu kikubwa ni kumwomba Mungu ili mtu umpate mwenza aliye sahihi hata mkiwa 18yrs wote, mkiwa good couple mtaenjoy life kuchelewa sana nayo ni shida nmaanza mapemaaa Mungu akiwajalia watoto baadae mtakaa nao kama wadogo zenu kumbe ni wanenunimeolewa na 25yrs mume akiwa na 27! kwakweli niliwahi sana kuolewa !niliwah mnoooooooooo !napendekeza jaman wasichana mkitoka vyuoni fanyen kazi walau 4yrs yaan hakikisha starehe umezifanya kweli kweli !atleas uolewe na 28/29 unakuwa atleast umemachua kias ! na mume atleast awe na 32 ! nina mdg angu ana 30 namwambiaga ukwel dogo kula life kwanza huku anza kufikiria ukiwa na 33 !
Ewaaa... raha jipe mwenyewe bhana. Maisha mafupi haya... unajisikiaje kuwa na watoto ambao baadhi ya watu hudhani ni wadogo zako??Nafurahia sana mkuu na ndo walonifanya nijipe tiba mimi mwenyewe kwa kuipokea ndoa hii
Shkamo mchepuko wanguHufurahii hata watoto wako?
pole mkuuYaani ww unahisi tupo ulaya eti?? Mi ndo nilikuwa nimemaliza form four tu, certificate, diploma na degree nilivipata nikiwa nimeolewa na uzazi ukweli kuna vitu aunt zangu waliniumiza lkn nimewasamehe kwani hawakujua walilotenda
Marahaba kamchepuko... hivi kule mtaa wa pili ndo umenisusa mazima? Nimwachie Mungu?Shkamo mchepuko wangu
Duu pole si nikubakana huko ndoa shurutishi bana hazimwachi mtu salama full michepuko kwa kutokuwa na chaguopendwa/mapenzi ya dhatiImejaa maumivu ya kihisia coz mume sikumpenda ukumbuke hilo, lkn nilitulia kwa hofu ya walezi waloniozesha ilinichukua muda kuupokea uhalisia,
[emoji122] [emoji122]Nimeoa nikiwa na miaka 27. Sijawahi kujuta kuwahi kuoa. Nitakapofikisha miaka 50 mwanangu wa mwisho atakuwa anagraduate university. Hapo mimi na bibi yenu ndo tutakapoanza maisha ya ujanani...
Ee Mungu nisaidie...
Mchepuko wangu mie, nimeamka salama!!!!Marahaba kamchepuko... hivi kule mtaa wa pili ndo umenisusa mazima? Nimwachie Mungu?
HallelujahNimeoa nikiwa na miaka 27. Sijawahi kujuta kuwahi kuoa. Nitakapofikisha miaka 50 mwanangu wa mwisho atakuwa anagraduate university. Hapo mimi na bibi yenu ndo tutakapoanza maisha ya ujanani...
Ee Mungu nisaidie...