radicals
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 4,410
- 6,496
sawa sawa, ukiileta naomba unitagIPO siku ntaileta stay tuned
sawa sawa, ukiileta naomba unitagIPO siku ntaileta stay tuned
[emoji106]sawa sawa, ukiileta naomba unitag
25 yrs is a good age for child bearing.nimeolewa na 25yrs mume akiwa na 27! kwakweli niliwahi sana kuolewa !niliwah mnoooooooooo !napendekeza jaman wasichana mkitoka vyuoni fanyen kazi walau 4yrs yaan hakikisha starehe umezifanya kweli kweli !atleas uolewe na 28/29 unakuwa atleast umemachua kias ! na mume atleast awe na 32 ! nina mdg angu ana 30 namwambiaga ukwel dogo kula life kwanza huku anza kufikiria ukiwa na 33 !
Nadhani umri ulioolewa wewe ndo sahihi kwa binti kuolewanimeolewa na 25yrs mume akiwa na 27! kwakweli niliwahi sana kuolewa !niliwah mnoooooooooo !napendekeza jaman wasichana mkitoka vyuoni fanyen kazi walau 4yrs yaan hakikisha starehe umezifanya kweli kweli !atleas uolewe na 28/29 unakuwa atleast umemachua kias ! na mume atleast awe na 32 ! nina mdg angu ana 30 namwambiaga ukwel dogo kula life kwanza huku anza kufikiria ukiwa na 33 !
Nadhani umri ulioolewa wewe ndo sahihi kwa binti kuolewa
25 yrs is a good age for child bearing.
Ulijichimbia wapi mamito??
Niliolewa na 18 kasoro wakati huo mume alikuwa 32, niliolewa zile ndoa km za kizamani analetwa mume na mashangazi na mume nilimjua siku naenda kuolewa, kisa tu cha aunt kunifanyia ivo ni story ndefu best
Kijana miaka 25-27 na bint miaka 23-25 nje ya hapo umechelewa
Unaguna nini sasa uliza nikujibu
pole mwaya...kuna wengine wakiolewa bado mawazo ya kula bata hayaondoki..mwiaho mifarakano..magomvi tupu!nimeolewa na 25yrs mume akiwa na 27! kwakweli niliwahi sana kuolewa !niliwah mnoooooooooo !napendekeza jaman wasichana mkitoka vyuoni fanyen kazi walau 4yrs yaan hakikisha starehe umezifanya kweli kweli !atleas uolewe na 28/29 unakuwa atleast umemachua kias ! na mume atleast awe na 32 ! nina mdg angu ana 30 namwambiaga ukwel dogo kula life kwanza huku anza kufikiria ukiwa na 33 !
pole mwaya...kuna wengine wakiolewa bado mawazo ya kula bata hayaondoki..mwiaho mifarakano..magomvi tupu!
29 ngumu kumeza, 24-26 ndo nilipenda kuolewa humoah hmna bwana baba aliniambia mbiti we bado mtoto saanna kuolewa nw nikawa simwelew nw namuelewa!hapana bana ateast 29 huko ushakomaa akili na kubeba majukumu mengi !
Imejaa maumivu ya kihisia coz mume sikumpenda ukumbuke hilo, lkn nilitulia kwa hofu ya walezi waloniozesha ilinichukua muda kuupokea uhalisia,duh !pole sana jaman !ndo hyu uiyenaye sasa hv !uwii 14yrs du parefu !hebu tuambie ilikuaje ? aiseee pole naogopa maskini ht kusikia hyo stry !
nimeolewa na 25yrs mume akiwa na 27! kwakweli niliwahi sana kuolewa !niliwah mnoooooooooo !napendekeza jaman wasichana mkitoka vyuoni fanyen kazi walau 4yrs yaan hakikisha starehe umezifanya kweli kweli !atleas uolewe na 28/29 unakuwa atleast umemachua kias ! na mume atleast awe na 32 ! nina mdg angu ana 30 namwambiaga ukwel dogo kula life kwanza huku anza kufikiria ukiwa na 33 !
master unasoma ukiwa mama wa familiar haizuiwi ukianza uzazi una miaka 33 mtoto afike miaka 20 wewe una 53 bado 7 ustaafu chuo atasoma kwa shida sana huyo mimi nimezingatia umri unaokuwa na nguvu hata kwa kubeba magunia mgongoni watasoma tu wa kuolewa ukiwa chuo au wahi kuoa ukiwa chuomiaka hii vijana wa miaka 27 jaman wana akili za kitoto jaman hupat kusema !na wasichaan 23 jaman aingie ndoani amesoma saa ngap? atleast uolewe ukiwa una kamasters kako umefel sana kadgree
Yaani ww unahisi tupo ulaya eti?? Mi ndo nilikuwa nimemaliza form four tu, certificate, diploma na degree nilivipata nikiwa nimeolewa na uzazi ukweli kuna vitu aunt zangu waliniumiza lkn nimewasamehe kwani hawakujua walilotendamiaka hii vijana wa miaka 27 jaman wana akili za kitoto jaman hupat kusema !na wasichaan 23 jaman aingie ndoani amesoma saa ngap? atleast uolewe ukiwa una kamasters kako umefel sana kadgree
Duuuh pole sana!!! Haya ndio malimwengu ya walimwengu!!!Ulijichimbia wapi mamito??
Niliolewa na 18 kasoro wakati huo mume alikuwa 32, niliolewa zile ndoa km za kizamani analetwa mume na mashangazi na mume nilimjua siku naenda kuolewa, kisa tu cha aunt kunifanyia ivo ni story ndefu best