Ulinzi wa Rais Samia Marekani upoje?

Ulinzi ulikuwa mdogo sana hadi yule stranger akamsogelea Rais.

Ila body language ya Samia ina suggest hana shida na Mange, issue itabaki kwa maafisa vipenyo, nadhani hao ndio Mange ahakikishe anapiga nao picha wengi iwezekanavyo.

Hata Manji hakutegemea yale yaliyomkuta alivyorudi Tz.
Manji ilikuaje??

Ilinipita hiyo bro.
 
Wale wanaitwa special weapon and tactics unit (Combat bakabaka) ni kikosi maalamu ndani ya kikosi cha ulinzi wa raisi kwa ajili ya kuboresha ulizi wa rais.

Na kwa ufupi ni kwamba kila nchi zina utaratibu wake wa ulinzi, hata kwa mama pia alipotua US kuna special security anakuwa amepangiwa na UN tena wale ndio wanaume kwelikweli achana na hawa wavulana wetu.

Ila nikirudi kwenye ile clip ya jana nimeumia mno kumuona mmoja wa walinzi wa Rais anaacha jukumu lake la ulinzi na kushika simu ya Mange kimambi (malaya wa kisiasa) na kuruhusu kupiga nae picha.

Tukifuata protokali za ulinzi hakupaswa kufanya vile kabisa, amevunja miiko ya ulinzi.
Mange amemaliza ugomvi wake na CCM
 
Hata mm sijapendezwa kabisa na huyo dada mchafu chafu Mange kumsogelea Mh. Rais wetu Samia.. Mange ni mchafu chafu wa tabia na matendo. Sijapenda kabisa.
Kwahio hangaya yeye ni msafi? Acha ujuaji hangaya mwenyewe ni mshenzi tuu kwann anakandamiza haki za watu kwakutumia policcm? Sisiem wote ni wa hovyo hawajali maendeleo yetu Mungu awadhibu vikali
 
Wale wanaitwa special weapon and tactics unit (Combat bakabaka) ni kikosi maalamu ndani ya kikosi cha ulinzi wa raisi kwa ajili ya kuboresha ulizi wa rais.

Na kwa ufupi ni kwamba kila nchi zina utaratibu wake wa ulinzi, hata kwa mama pia alipotua US kuna special security anakuwa amepangiwa na UN tena wale ndio wanaume kwelikweli achana na hawa wavulana wetu.

Ila nikirudi kwenye ile clip ya jana nimeumia mno kumuona mmoja wa walinzi wa Rais anaacha jukumu lake la ulinzi na kushika simu ya Mange kimambi (malaya wa kisiasa) na kuruhusu kupiga nae picha.

Tukifuata protokali za ulinzi hakupaswa kufanya vile kabisa, amevunja miiko ya ulinzi.
Kiukweli ili ni kosa kubwa sana, japo mm sio mtaalam sana wa haya mambo ila kwa uelewa wangu mdogo ni kwamba rais anapokua kwenye hadhara ndio kipindi kigumu zaid kiulinzi sasa mtu anapata wapi mda wa kupiga selfie jaman! Akuna professionalism APA na MTU akitaka kufanya yake anaweza kufanya kwa walinzi wa namna hii, na haya ni miongoni mwa madhara ya tiss kuendeshwa kisiasa wakajaza uvccm wa kutosha mwisho wa cku weled amna na wakitongoza mdada cku izi wanamwambia mm usalama wa taifa akibisha na kitambulisho wanatoa ili tu kupata papuchi! Hii ndio tiss ya sasa kwahyo usishangae kuona vitu km ivyo lkn madhara yake ni makubwa sana awajui tu maana tiss ya zaman ya wakina mahiga iliyozima mapinduzi karibia matatu sio tiss hii ya diwani amna kitu kabisa, nchi ilifika pabaya sana hii mama ana kazi ngumu ya kuiunda upya mzee yule angetufikisha hatua nchi ingenock hii makada wa chama walizidi kila sehemu na tiss inclusively.
 
Ulinzi wa sasa utakuwa na dosari mahali mbona wakati wa Hayati huu uzembe hatukuwahi kuhushudia
 
Nashangaa hata mimi wale jamaa hawapo wakati huku kwetu tandahinba hata gobore hatuna ila huwa wanakuja na mashine zao zile wamemzunguka mama.
Inawezekana wewe usiwe na GOBOLE lakini adui akawa alishafika siku nyingi kwenye kijiji chenu na akawa na SILAHA za moto bila nyinyi wenyewe kujua, ko hata kama rais anafanya ziara kijiji fulani TAHADHARI ni muhimu!
 
Wale wanaitwa special weapon and tactics unit (Combat bakabaka) ni kikosi maalamu ndani ya kikosi cha ulinzi wa raisi kwa ajili ya kuboresha ulizi wa rais.

Na kwa ufupi ni kwamba kila nchi zina utaratibu wake wa ulinzi, hata kwa mama pia alipotua US kuna special security anakuwa amepangiwa na UN tena wale ndio wanaume kwelikweli achana na hawa wavulana wetu.

Ila nikirudi kwenye ile clip ya jana nimeumia mno kumuona mmoja wa walinzi wa Rais anaacha jukumu lake la ulinzi na kushika simu ya Mange kimambi (malaya wa kisiasa) na kuruhusu kupiga nae picha.

Tukifuata protokali za ulinzi hakupaswa kufanya vile kabisa, amevunja miiko ya ulinzi.
Huwez jua labda jamaa kaelewa kazi katumia mbinu za medan kwa kujifanya anapiga picha lkn ataandika namb ya simu mdada akiiona atajiongeza kuwa mwamba anahitaj huduma
 
Acha roho mbaya. Kwani mlinzi wa rais sio binadamu hadi ashindwe kuchukua simu na kumpiga Mange na rais? Acheni kuwatukuza watu kama vile hawajazaliwa. Huu utukufu ni mentality tu za kidunia lakini walinzi wa rais ni watu kama wajomba zako tu huko kijijini.
Huijui protocol Mkuu, kafanya kosa saana.
 
N
...Sio suala la roho mbayaa Mkuu. Katika Watanzania wote waliokuwa pale Mange aliona mpe Mlinzi wa raisi simu yake apigwe picha akiwa na raisi?
Kwa nini?
Si angeweza kumpa yoyote aliyekuwa palr?
Yaani bodyguard wa raisi apoteze concetration ya kumlinda raisi ampigie mtu picha?
Kila mtu akifanya hivyo kwa kila bodyguard kutakuwa na ulinzi wa raisi kweli?
Kuna uwezekano Mange anafahamiana na yule Bodyguard lakini haikupaswa kuwa pale hata Bodyguard akiwa kazini kumlinda raisi wetu.....
Hakuna suala la Roho Mbaya hapo. Ni Kanuni tu zinapaswa kufuatwa mkuu.
Nasubiri mama arudi na mimi nikapige nae selfie.
 
Back
Top Bottom