Ulinzi wa Rais Samia alipotua Dar leo

Hapana. Kuna mmoja nimeweka screenshots mbili.

Lakini kuna mwingine tofauti na huyo, nimeiweka screeshot yake pia.

Na kuna ingine ya mwingine pia.
Unawatafuta kwa tochi namna hiyo.. Enzi hizo walikua wengi kama gwaride, juu helcopta, chini signal jammer na rundo la vijana wa kisukuma kutisha tisha watu na kaunda suti zao.
 
Ile misafara ya gari 70 na ushehe na lile rundo la watu unawezakuta gharama zinarudi mule mule...
Kusimama kukagua miradi au kuwaimbia nyimbo za nyie wanyonge ili muendelee kushikiwa akili huku wengine wanapiga?
 
Unawatafuta kwa tochi namna hiyo.. Enzi hizo walikua wengi kama gwaride, juu helcopta, chini signal jammer na rundo la vijana wa kisukuma kutisha tisha watu na kaunda suti zao.
Huyu mama hata mwezi hajamaliza akiwa Rais!

Hajafanya ziara nyingi nchini akiwa Rais.

Kuna sehemu atatembelea na ulinzi wake utakuwa vilevile kama wa Magufuli ulivyokuwa, kuzingatia na sehemu atayokuwepo.

Huwezi kulinganisha ulinzi wake akiwa anatua uwanja wa ndege [sehemu ambayo tayari huwa ina ulinzi wa kutosha] na ulinzi wa akiwa anaenda kukagua ujenzi wa daraja au barabara huko Dumila au Manyoni ambapo labda atakuwa kwenye sehemu ya uwazi mkubwa katikati ya nowhere.

Nyie nyumbu walau mtumiage basi hata hizo akili chache mlonazo....
 

Upo Mwangu, long time!
 
Helcopter 2 ziko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…