Penzi ni mfanano wa kihisia wa mioyo miwili ya jinsia tofauti..... Hisia hizo zinapovutana na hatimaye kuungana, hakuna mwenye uwezo wa kutenganisha zaidi ya Mungu mwenyewe kupitia halmashauri ya Kifo........... Sasa kama hapa tunazungumzia kulilinda Penzi, tunamaanisha kulilinda dhidi ya mauti.
Labda kama Afroie anataka tumfundishe namna ya kulinda "penzi la wizi" au "penzi la kutamaniana" au "Penzi la kuoneana huruma" au "Penzi la king'ang'anizi"
....ohooo, nawe ushakamatika nini...lol...
ni kama ile sredi ya mwanajamiione kuhusu marking territories...
hebu nikusanye madongo ya kujengea hoja hapa...
...kwa kuanzia, trust na kuheshimiana inachukua sehemu ya kwanza,
ikifuatiwa na masikilizano, na maelewano, halafu kuhurumiana, kusaidiana inafuatia
haya yote niliyoyataja yanadhihirisha upendo kwako mwenyewe na mwenzako, pia kujijali na kumjali mwenzako.
...nitarudi na ufafanuzi mwingine...
Hapa ndipo utaanza kupotea njia.......... Upendo na Penzi ni vitu viwili tofauti kabisa..... Sana!
Ukianza kuwaza kulinda penzi .....siku zako za kuishi zinaanza kuhesabika..
Pesa ndio gundi ya mapenzi...superglue niguse unate...lol!
asante sana kwa mawazo yako..
je kumuonyesha mtu unampenda si ndo kulinda penzi lisiingie pabaya au??
Kweli nimeamini wewe mkongwe wa haya masuala...
inabidi utupe mada kuhusu "penzi la wizi" au "penzi la kutamaniana" au "Penzi la kuoneana huruma" au "Penzi la king'ang'anizi"
Sema umepumzika na sio kusahaumimi nimeshasahau kupendwa kwa hiyo,najipenda mwenyewe tu
Kitu nilichokisoma humu ndani ni kuwa penzi la kweli halipotei, haliibiwi, haligawanyiki hata siku moja. Likiibiwa, potea, gawanywa halikuwa penzi la kweli!. Wanaume wenye wenzi wao; wanawake wenye wenzi wao wanaowapenda kwa dhati - wanapocheat nje huwa si kuwa penzi lao la kweli limekufa la hasha bali ni matamanio tu but penzi la kweli bado liko kwa wenzi wao... ni kuwa wamechoka kula nyama tu kila siku sasa wanatafuta ladha nyingine lakini haimaanishi wamechukia nyama kimoja.
kwa wale ambao wanatekwa kabisa na nyumba ndogo/ serengeti na kuwaacha wapenzi wao basi ni kwamba kwao hawakuwa wamepata penzi la kweli. So penzi la kweli linalead the way
Reference: Babu ODM.
(Babu uniambie kama nimefaulu somo lako tafadhali; na Grade niijuie)
Penzi la Wizi: Afrodenzi anajifanya anampenda Rejao kwa sababu Rejao ana mafweza kaba Rostam...... wizi mtupu
Penzi la Huruma: Afrodenzi anamkubali Rejao kwakuwa Rejao kamtongoza yapata miaka mitano sasa......
King'ang'anizi: Rejao anampenda na kumng;ang;ania Afrodenzi kwa kuwa alipoonjeshwa mara ya kwanza, hajawahi pata mtaalam kitandani kama huyu, na tena mle ndani kuna joto la kutisha..... anan'angania mpaka kieleweke....
Kutamani: Afrodenzi anamzimikia Rejao kwakuwa Rejao ni handsome ana mwili ulojengeka kimazoezi, anapiga pamba za kufa mtu na vitu kama
hivyo
Penzi la kweli halina hiyo makitu.......... Ndo pale unamkuta mtu kaoa jimama minyama uzembe watu wakibaki kujiuliza "kampendea nini yule shankupe?" na wala wapenzi hawa wasisikie kisemwacho.
Au bunti wa kitajiri anaanguka kwa sakara ODM, haambiwi wala hasikii kitu watu wakibaki kubishana "ODM lazima atakuwa mchawi"
Sijui niendelee?
Hahaha!!! Mbu bana
...bado siamini leo hii tarehe 19/sept/2011 umewezaje wezaje kuandika kitu kama hiki.
Unajua nakutegemea sana kwenye ushauri mzuri ewe soulmate wangu? hebu tusiharibiane wiki bana.
una justify cheating kiurahisi namna hii...huo sio upendo wala mapenzi bana,...lol....
correct me if am wrong, otherwise nitakurudisha kwenye zile thread zangu za psychological abused kiasi kwamba
victim unajiona ni halali kwako mumeo akilala nje, ...almuradi anarudi kwako asubuhi, nawe unampikia supu,
unampigia pasi wenzio wakamfwaudu vizuri...
Platinum!............Bingo!Kitu nilichokisoma humu ndani ni kuwa penzi la kweli halipotei, haliibiwi, haligawanyiki hata siku moja. Likiibiwa, potea, gawanywa halikuwa penzi la kweli!. Wanaume wenye wenzi wao; wanawake wenye wenzi wao wanaowapenda kwa dhati - wanapocheat nje huwa si kuwa penzi lao la kweli limekufa la hasha bali ni matamanio tu but penzi la kweli bado liko kwa wenzi wao... ni kuwa wamechoka kula nyama tu kila siku sasa wanatafuta ladha nyingine lakini haimaanishi wamechukia nyama kimoja.
kwa wale ambao wanatekwa kabisa na nyumba ndogo/ serengeti na kuwaacha wapenzi wao basi ni kwamba kwao hawakuwa wamepata penzi la kweli. So penzi la kweli linalead the way
Reference: Babu ODM.
(Babu uniambie kama nimefaulu somo lako tafadhali; na Grade niijuie)
..."kumuonyesha" sio neno sahihi kwenye mapenzi, naamini kwenye mapenzi ni kutimiza wajibu wako aka -kufanya/kumfanyia/kufanyiana-,...mpenzi/mke au mume atayapokea kwa muonekanoi wake. kumuonyesha ni kama una pretend hivi, ambayo utapochoka ndio yataanza yale ya..."mbona siku hizi umebadilika, hunifanyii hili na lile...!"
Aisee Moskwito, nrudishie Mjukuu wangu Mtiifu. Tafazali usinizeeshee akingali bado mwali.
...bado siamini leo hii tarehe 19/sept/2011 umewezaje wezaje kuandika kitu kama hiki.
Unajua nakutegemea sana kwenye ushauri mzuri ewe soulmate wangu? hebu tusiharibiane wiki bana.
una justify cheating kiurahisi namna hii...huo sio upendo wala mapenzi bana,...lol....
correct me if am wrong, otherwise nitakurudisha kwenye zile thread zangu za psychological abused kiasi kwamba
victim unajiona ni halali kwako mumeo akilala nje, ...almuradi anarudi kwako asubuhi, nawe unampikia supu,
unampigia pasi wenzio wakamfwaudu vizuri...
ODM umenifanya nikacheekee nje kwa sauti!Penzi la Wizi: Afrodenzi anajifanya anampenda Rejao kwa sababu Rejao ana mafweza kaba Rostam...... wizi mtupu
Penzi la Huruma: Afrodenzi anamkubali Rejao kwakuwa Rejao kamtongoza yapata miaka mitano sasa......
King'ang'anizi: Rejao anampenda na kumng;ang;ania Afrodenzi kwa kuwa alipoonjeshwa mara ya kwanza, hajawahi pata mtaalam kitandani kama huyu, na tena mle ndani kuna joto la kutisha..... anan'angania mpaka kieleweke....
Kutamani: Afrodenzi anamzimikia Rejao kwakuwa Rejao ni handsome ana mwili ulojengeka kimazoezi, anapiga pamba za kufa mtu na vitu kama
hivyo
Penzi la kweli halina hiyo makitu.......... Ndo pale unamkuta mtu kaoa jimama minyama uzembe watu wakibaki kujiuliza "kampendea nini yule shankupe?" na wala wapenzi hawa wasisikie kisemwacho.
Au binti wa kitajiri anaanguka kwa sakara ODM, haambiwi wala hasikii kitu watu wakibaki kubishana "ODM lazima atakuwa mchawi"
Sijui niendelee?
...bado siamini leo hii tarehe 19/sept/2011 umewezaje wezaje kuandika kitu kama hiki.
Unajua nakutegemea sana kwenye ushauri mzuri ewe soulmate wangu? hebu tusiharibiane wiki bana.
una justify cheating kiurahisi namna hii...huo sio upendo wala mapenzi bana,...lol....
correct me if am wrong, otherwise nitakurudisha kwenye zile thread zangu za psychological abused kiasi kwamba
victim unajiona ni halali kwako mumeo akilala nje, ...almuradi anarudi kwako asubuhi, nawe unampikia supu,
unampigia pasi wenzio wakamfwaudu vizuri...
Ngoja ODM aje akufundishe jinsi ya kulinda...!
Mie leo mtazamaji tu!
Kwa umri huu, jembe siwezi kamata tena, ngoja niwape wajukuu zangu hazina ya mapenzi iliyosalia......... Tatizo vijana wabishi wanasahau mapenzi hayafundishi darasani wala hayahitaji ushauri. Mapenzi yanaflow nachurale......ODM umenifanya nikacheekee nje kwa sauti!
Endelea kutoa dozi wajukuu watakuelewa tu!