Ni heri ufutwe lakini ukweli usemwe.Usiwaseme mkuu uzi ukafutwa bure!
Ndugu zetu waislamu washirikina sana
Wale wanaojaa pale kawe nii kina nani haswa!? Kuna makanisa ya maombrzi na ya Kiroho kama ya kina gwajima! Ulishawahi kusikia misikiti ya hivyo? Kuna manabii na mitume wenye makanisa ulishawahi sikia waislamu wa hivyo?Ndugu zetu waislamu washirikina sana
Acha ma uchawi sasaDogo kumbe ni wewe uliekuwa kwenye hiyo seat? Nilivyopanda niliona unatoa simu mfukoni unajichatisha sikujua lengo lako kumbe unataka kunipiga picha.
Saa hizi umekuja kunitupia humu jamvini unadhani mimi simo? Umenikwaza sana
Kwahiyo huyo kwenye picha ni Padre? Padre anapanda daladala anaenda parokia ya wapi?Hizo ni pete za mashetani zinazovaliwa na mapadre na mafreemasons. Kama hujui mambo unaweza ukijikuta unabwabwaja tu na wengi huku JF ni mambumbumbu wakishapata baundle la mia tano ni kuropokwa tu!
Sawa mkuu ila huyu dogo lazima nimsogezee kelebu ya kimiujiza ambayo ikitokea nimemkosa mimi lazima mkono unyofokeAcha ma uchawi sasa