Ulinzi na usalama: Chamwino Ikulu, Dodoma

Nitaji book myself mirembe mkuu, relax maana usalama wa watawala wako ni muhimu kuliko usalama wako
Kama wao wasipokua salama sisi pia hatuwezi kuwa salama and the vice versa.

We unadhani ni Sawa...mtu kuja mtaani kwako...then anaanzisha bar...na kisha anaweka speaker nje zinazotoa sauti mpaka Mtaa wa 7 ... Kwanini wahusika wasiwaambie waziweke ndani...kwenye ukumbi kama wameamua hivyo?

#NoisePollution
 
Tatizo ni kwamba wahusika wapo bize kudukua mawssiliano ya Wananchi huku wakiacha goli wazi
 
Kwa hiyo pale Ikulu ya magogoni Dar ambako kumezungukwa na kila aina ya kelele kuanzia magari, malaya, wavuvi, soko, stand, kivuko kwa miaka yote, ni lini usalama ulipotea?
 
Wasiojulikana ndiyo hupatia taarifa humo
 
Tatizo ni kwamba wahusika wapo bize kudukua mawssiliano ya Wananchi huku wakiacha goli wazi
Hakuna kitu ... Huku kuna mambo ya hovyo sana sijapata kuona. Huku watu wakifika wanashindwa kufanya kilichowaleta, wanaanza kufanya mambo mengine. Bure kabisa!
 
Kwa hiyo pale Ikulu ya magogoni Dar ambako kumezungukwa na kila aina ya kelele kuanzia magari, malaya, wavuvi, soko, stand, kivuko kwa miaka yote, ni lini usalama ulipotea?
Mazingira ya huko ni tofauti kabisa na huku.

Acheni kufanya vitu kwà kukariri. Au kwà kufanya vitu kwà mtizamo ule ule.

Kama mmeamua kuifanya Dodoma kuwa mji wa Serikali..., Wekeni mazingira vyema.
 
Hakuna kitu ... Huku kuna mambo ya hovyo sana sijapata kuona. Huku watu wakifika wanashindwa kufanya kilichowaleta, wanaanza kufanya mambo mengine. Bure kabisa!
Wahusika watambue kwamba hata kama tunawapinga na kuwabhruza wapangaji wa Ikulu yetu. Lakini eneo la Ikulu ni taswira ya nchi.

Paheshimiwe
Palindwe
 
Wahusika watambue kwamba hata kama tunawapinga na kuwabhruza wapangaji wa Ikulu yetu. Lakini eneo la Ikulu ni taswira ya nchi.

Paheshimiwe
Palindwe
Jamaa mmoja kwenye comment yake huko juu anaifananisha Ikulu ya Magogoni na ya Chamwino...., Anasahau ya kwamba...hii ya huku Chamwino...kuna watu Wana nyumba zao...familia zao....na wanapotoka mihangaikoni wanahitaji kupumzika, na sio kuendelea kupigiwa mikelele.

Lakini pia, kuwa na uhakika wa Usalama wa familia zao kwamaana ya,..kuwaona watoto wao wakikua katika mazingira mazuri.
 
Hayo ni matumizi mabaya sana ya pesa za walipakodi.
ikulu imewakuta. walipeni wahame. Mbona Mkapa aliwahamisha vijiji kadhaa ili UDOM ijengwe? Mnashiundwa nini?
 
Watu kufanya shughuli zenye kuondoa utulivu karibu na eneo la Ikulu ni kama mkakati wa muda mrefu wa projects za wanaoutekeleza mkakati huo.....
 
Hayo ni matumizi mabaya sana ya pesa za walipakodi.
Kama sivyo..basi jamaa wakae chini...waipange Chamwino vizuri...waweke utaratibu mzuri ili hata tulio na familia zetu tusiwe na wasiwasi wa kuporoka kwà maadili ya watoto wetu.
 
Nina kibanda changu hapo karibu na ikulu {KWA TUMBO} nasubiri mtu aingie kichwa kichwa nipasukume....maana hata sisi raia hatupendi kufuatiliwa...tukiamua SINGELI NI SINGELI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…