Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,056
- 6,208
Ushahidi ni hilo gari ( LC 300 ) alilopewa ambalo hata Chongolo hana!
Nenda post no 13 wee si upo no10? Utamkuta #kaveli#Am ovlesss. Tanzania am ovless kabisa ndugu zangu.
Hivi kuna ambaye hajui kila nyumba Bongo hii, kuna mtu hamkubali makonda ata angepewa kazi ya kuzibua vyoo serikalini.
What is going on with my Tanzaniwhat’s going on
![]()
Nimemuona. Katika nyumba yeye ni mmoja anayesapoti.Nenda post no 13 wee si upo no10? Utamkuta #kaveli#
Kazi ni kipimo cha utuUkiachana na X wako msigombane uwezi jua atakuja kua nani?