Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,900
Naona ulinzi wa Askari Polisi na wana usalama kila apitapo mheshimiwa
Hivi UKAWA wakiteua mgombezi wao poa watapatiwa ulinzi
Kodi zetu...
Ni serikali inaomba kupewa madaraka ya nchi kwa mara nyingine

