Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,420
- 4,034
hata ukawa wakiomba ulinzi watapewa kwa sasa mabaunsa wao wanaona wanatosha
Well said Kiranga
May be tunajadiliana na wasiokielewa kinachojadiliwa hapa
wnajuana kwa vitu vizito...mccm haina logic.Wanajua walichofanya dodoma anaweza angukiwa na vitu vizito.Naona ulinzi wa Askari Polisi na wana usalama kila apitapo mheshimiwaHivi UKAWA wakiteua mgombezi wao poa watapatiwa ulinziKodi zetu...
Ila magufuli ni km wale maraisi wanaopelekwa na mataifa kuongoza nchi km afghanistani na somalia huwa wanahitaji snaa ulinzi.Nyie ndio mnao changanya mambo, Lowasa kiongozi mstaafu analindwa na kutumia gari la serekali hata katika shughuli zake binafsi. Iweje magufuli waziri kamili aliye kazini asitumie usafiri wa serekali? Magufuli hakuanza kulindwa leo, tangu wakati wa mkapa alipewa ulinzi wa ziada kutokana na utendaji wake mzuri uliokuwa unawakera mafisadi
kwani Ukawa umeambia ni raia wa afghanistani au somalia?hata ukawa wakiomba ulinzi watapewa kwa sasa mabaunsa wao wanaona wanatosha
Magufuli ni kiongozi wa Serikali bado.
So tulia dozi ikuingie vizuri.
Nyie ndio mnao changanya mambo, Lowasa kiongozi mstaafu analindwa na kutumia gari la serekali hata katika shughuli zake binafsi.
Iweje magufuli waziri kamili aliye kazini asitumie usafiri wa serekali?
Magufuli hakuanza kulindwa leo, tangu wakati wa mkapa alipewa ulinzi wa ziada kutokana na utendaji wake mzuri uliokuwa unawakera mafisadi
Naunga mkono hoja hata Dodoma nilikua naona magari ya serikali yanatumika kichama. Nadhani hyo siyo sahihi.Polisi wajipambanue kwa shughuli za kiserikali na kivyama
Naona ulinzi wa Askari Polisi na wana usalama kila apitapo mheshimiwa
Hivi UKAWA wakiteua mgombezi wao poa watapatiwa ulinzi
Kodi zetu...
Naona ulinzi wa Askari Polisi na wana usalama kila apitapo mheshimiwa
Hivi UKAWA wakiteua mgombezi wao poa watapatiwa ulinzi
Kodi zetu...
Si useme tuu hat akm huna akili kubwa kihivyo kwamba huyo mgombea ni wa kichina..na hakubaliki km wale viongozi wa Afghanistani na somalia mbao huchaguliw anje ya nchi na kuletwa huw aulinzi wao ni mkubwa kuliko bank zinazotembea.Tofauti ilitopo kuwa CCM ni chama cha siasa na chadema ni saccos.
Je mawaziri hulindwa na usalama wa Taifa ?