Ulinzi kwa Dr. Magufuli ni wa kichama?

Ulinzi kwa Dr. Magufuli ni wa kichama?

Ndio mawaziri nao hulindwa na usalama wa Taifa.kwani viongozi ktk serikali ys jamhuri ya Muungano.
 
anaweweseka wakati bado hata kazi haijaanza
Hakuna kuweweseka wala ndoto..Je kesho TLP wakishamteua mgombea atapewa ulinzi wa kiserikali?(Polisi na UWT) wakati bado hajachaguliwa?

This is a GT forum hivyo usijisikie kuandikaandika utumbo humu ili uonekane umecomment unakuwa kama wale wa kipima joto wanaosema "S"
 
Magufuli analindwa na usalama wa taifa kwasababu alitishiwa kuuawa,kwahiyo serikali ikampa ulinzi maalum.
 
Tatizo si kiongozi wa serikali au la.

Yupo katika shughuli gani?

Za chama au serikali?

Tunaona Magufuli mgombea urais wa CCM aliwa katika kampeni za chama, anatumia gari la Attorney General wa Zanzibar. Mtumishi wa Serikali.

Hilo ni sawa?
Well said Kiranga
May be tunajadiliana na wasiokielewa kinachojadiliwa hapa
 
Last edited by a moderator:
Waendelee kustakisharishwa tu.
Hakuna namna nyingine
 
magufuli hajaanza kulindwa leo, alipewa ulinzi tangu enzi za mkapa, hata hilo hamjui, sababu ni kutishiwa kuuawa kwa bomoabomoa na magari ya serikali yaliobinafsishwa kwa namba binafsi.
 
Na bado Mtakodishiwa hadi ukumbi wa billcanas ili mfanyie vikao.
Chadema ni kampuni.
 
magufuli hajaanza kulindwa leo, alipewa ulinzi tangu enzi za mkapa, hata hilo hamjui, sababu ni kutishiwa kuuawa kwa bomoabomoa na magari ya serikali yaliobinafsishwa kwa namba binafsi.
Kwa hiyo kila anayetekeleza wajibu wake alindwe?
 
  • Thanks
Reactions: 999
Unaweza kumwambia samaki kwamba "wewe samaki, unaishi kwenye maji" akakubishia. Kwa sababu kashayazoea maji mpaka hayaoni.
Huu ni upofu dhahiri..common senses aren't common!
 
Tatizo si kiongozi wa serikali au la.

Yupo katika shughuli gani?

Za chama au serikali?

Tunaona Magufuli mgombea urais wa CCM aliwa katika kampeni za chama, anatumia gari la Attorney General wa Zanzibar. Mtumishi wa Serikali.

Hilo ni sawa?

kwani kikwete, bilali au shein akiwa kwenye shuhuli za Chama huwa halindwi??

Na huwa anatumia gari la serekali au la chama???
 
Back
Top Bottom