Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,717
- 11,331
Hakuna kuweweseka wala ndoto..Je kesho TLP wakishamteua mgombea atapewa ulinzi wa kiserikali?(Polisi na UWT) wakati bado hajachaguliwa?
This is a GT forum hivyo usijisikie kuandikaandika utumbo humu ili uonekane umecomment unakuwa kama wale wa kipima joto wanaosema "S"
Mkuu yaani humu ndani mnakera kweli,watu wanataka kujua kitu mijitu mingine inajibu kama haina vichwa.Mkuu watu kama itabidi tuwapuuze tu